Kwahy mkiajiriwa huko TRC ndo mnaona pabaya ila mkiwa jobless mnaona poa?Wewe uliyekosa TRC ndo unatakiwa uwe na shukran, TRC ni trap Jichanganye tu
Kazi mbaya ukiwa nayo....huujui huu msemo?Kwahy mkiajiriwa huko TRC ndo mnaona pabaya ila mkiwa jobless mnaona poa?
Dah hawa watu hawa 😂Kazi mbaya ukiwa nayo....huujui huu msemo?
Sisi tuendelee kupambana tu
Hujaona kuna doctor analalamika uko mshahara mdogo....Dah hawa watu hawa 😂
Halafu pia kuna mbunge anayepokea zaidi ya 18m per month nae analalamika mshahara mdogo 😂Hujaona kuna doctor analalamika uko mshahara mdogo....
Eeeh ndivyo binadam tulivyo...tamaaHalafu pia kuna mbunge anayepokea zaidi ya 18m per month nae analalamika mshahara mdogo 😂
Wengine wana Mali za urithi hata akiwa jobless ni kupeta tu.Kwahy mkiajiriwa huko TRC ndo mnaona pabaya ila mkiwa jobless mnaona poa?
Tuishi kiongozi cake ya taifa ni kubwa sanaKijana wizy hakuacha kunipa nasaha mbali mbali ambazo zilinibeba kwa kweli. Ubarikiwe sanaaaa kiongozi
Una nini lakin ?Wakuu samahani naomba msaada naweza pata vip email na password niliibiwa simu na computer way back 2022 inawezekana nilikua na akaunt ajira portal lkn nimesahau kila kitu na 2023 nilifungua email mpya. Sasa napataje ile ya zaman ambayo nilijisajilia ajira portal????
Wape namba ya nida waambie umesahau password wakupe mpya
Ngoja nipambane nao mkuu nitawapigia simu na kuwatumia email kama zoteWape namba ya nida waambie umesahau password wakupe mpya
Watatuma wapi sasa mkuu hiyo password kwenye email mpya au ya zamani. Samahani mkuu?? Kwa usumbufuWape namba ya nida waambie umesahau password wakupe mpya
Kazi kulia lia tu mshukuru Mungu kwa kila jambo tulieni kila mtu atapata kaziDah inatia huruma watu kuwa na hofu namna ya kupata placement ila waliyo nazo (waajiri) hata hawaonii huruma vijana wasaka ajira, wawotoe watu waliyo fanya sahili(interiew) za nyuma kwanza, sawa huu mwenzi pdf zimekuwa nyingi ni jambo la kushukuru ila sasa majority ni waliyo fanya sahili mwaka huu 2024 ila mwaka jana 2023 imebaki kinzungu mkuti(njia panda) why haya mambo yanaenda hivyo, kuna watu wanalalamika sana kuwa wanakalibia mwaka kuisha na hajapangiwa hata member mmoja katika oral interview zao na walifanya kuanzia mwaka jana wezi wa saba na kuendelea, inaumiza sana kwanini serikali isitatue jambo kabla ya hatari na madhila kwa watu
Mkuu shughulikia acc kwanza...piga paper ufike oral alafu urudi kumwambia analia liaKazi kulia lia tu mshukuru Mungu kwa kila jambo tulieni kila mtu atapata kazi
Sawa kaka🤣🤣😒😒Mkuu shughulikia acc kwanza...piga paper ufike oral alafu urudi kumwambia analia lia
Unaoongea sahihi mwaka 2023 walikimbiza database kwa ufaster sana ila mwaka huu mambo yameenda ovyo ukiongea mtu anasema unalalamika.Dah inatia huruma watu kuwa na hofu namna ya kupata placement ila waliyo nazo (waajiri) hata hawaonii huruma vijana wasaka ajira, wawotoe watu waliyo fanya sahili(interiew) za nyuma kwanza, sawa huu mwenzi pdf zimekuwa nyingi ni jambo la kushukuru ila sasa majority ni waliyo fanya sahili mwaka huu 2024 ila mwaka jana 2023 imebaki kinzungu mkuti(njia panda) why haya mambo yanaenda hivyo, kuna watu wanalalamika sana kuwa wanakalibia mwaka kuisha na hajapangiwa hata member mmoja katika oral interview zao na walifanya kuanzia mwaka jana wezi wa saba na kuendelea, inaumiza sana kwanini serikali isitatue jambo kabla ya hatari na madhila kwa watu
Kumbe hata oral hajapigaMkuu shughulikia acc kwanza...piga paper ufike oral alafu urudi kumwambia analia lia