Dah inatia huruma watu kuwa na hofu namna ya kupata placement ila waliyo nazo (waajiri) hata hawaonii huruma vijana wasaka ajira, wawotoe watu waliyo fanya sahili(interiew) za nyuma kwanza, sawa huu mwenzi pdf zimekuwa nyingi ni jambo la kushukuru ila sasa majority ni waliyo fanya sahili mwaka huu 2024 ila mwaka jana 2023 imebaki kinzungu mkuti(njia panda) why haya mambo yanaenda hivyo, kuna watu wanalalamika sana kuwa wanakalibia mwaka kuisha na hajapangiwa hata member mmoja katika oral interview zao na walifanya kuanzia mwaka jana wezi wa saba na kuendelea, inaumiza sana kwanini serikali isitatue jambo kabla ya hatari na madhila kwa watu