Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote hiyo ni serikali kuu na sio tasis so ni TGS scale, utaratibu mwingine sijui allows, perdm ni kulingana utaratibu wa office(sehemu(kitu cha kazi) ulipo na position) 😍😁Ofisi ya waziri mkuu, ajira, na watu wenye ulemavu asali yake ipoje ndugu zangu
Ivi ndivyo ilivyo mkuu?? lkn vitoto vile vinajikojolea khaa yaani ni vurugu tupu kukifundisha kijue ni issue bora advance aiseeUnakuwa Mwalimu daraja IIIC hao ni bachelor degree alafu unapangiwa shule ya msingi kufundisha hadi raha jamani unakuwa na mda wa kutosha kufanya biashara zako na kuwaketi pamoja na familia yako bila uchovu uliyopitiliza😁😁 ualimu raha,
Ualimu unachosha level ya O-level, huko advance(A-level) hakuna shida sana wanafunzi wanajitambua tayali,
Hela nzuri hii, kinachobaki sasa ni wewe kuzichanga karata zako.Watu humu wanasema TRC njaa kali,mimi mbona naona pazuri au kwa vile nilikuwa kwenye njaa kali zaidi mtaani kwa miaka mingi? kiasi kinachoingia kwa account baada ya makato si chini ya 700k sasa njaa ipo wapi?
Scale ni hizi hizi tu TGS, ila tofauti itakuwa kwenye posho endapo pakitokea safari. Ambaye yupo sehemu isiyo na safari na hizo posho hawezi kupata kirahisiOfisi ya waziri mkuu, ajira, na watu wenye ulemavu asali yake ipoje ndugu zangu
Kama COScale ni hizi hizi tu TGS, ila tofauti itakuwa kwenye posho endapo pakitokea safari. Ambaue yupo sehemu aisiyo na safari na hzio posho hawezi kupata kirahisi
Akiwa Wizarani Makao Makuu, hawezi kukosa posho za hapa na pale.Kama CO
If you really are good at what you do, then you won't bother if you will or will not get a job. You just know it's a matter of time before you land on your feetU better stay jobless?
Mimi niajiriwe TRC nimemkosea nini Mungu ??!!Kwahy mkiajiriwa huko TRC ndo mnaona pabaya ila mkiwa jobless mnaona poa?
Halmashauri gani ndugu?Wakuu, nawashukuru sana kwa pongezi, siwezi ku-reply kwa kila mtu, pongezi ni nyingi, feeling hii ni special, nimerudia mara kadhaa kuangalia jina langu😄, its like a dream!
Nenda ofisi za sekretarieti ya ajiraWakuu samahani naomba msaada naweza pata vip email na password niliibiwa simu na computer way back 2022 inawezekana nilikua na akaunt ajira portal lkn nimesahau kila kitu na 2023 nilifungua email mpya. Sasa napataje ile ya zaman ambayo nilijisajilia ajira portal????
Ndugu inategemea na mwajiri amejipangaje wengine budget Iko very limited unataka akuite alafu akulipe nini?Dah inatia huruma watu kuwa na hofu namna ya kupata placement ila waliyo nazo (waajiri) hata hawaonii huruma vijana wasaka ajira, wawotoe watu waliyo fanya sahili(interiew) za nyuma kwanza, sawa huu mwenzi pdf zimekuwa nyingi ni jambo la kushukuru ila sasa majority ni waliyo fanya sahili mwaka huu 2024 ila mwaka jana 2023 imebaki kinzungu mkuti(njia panda) why haya mambo yanaenda hivyo, kuna watu wanalalamika sana kuwa wanakalibia mwaka kuisha na hajapangiwa hata member mmoja katika oral interview zao na walifanya kuanzia mwaka jana wezi wa saba na kuendelea, inaumiza sana kwanini serikali isitatue jambo kabla ya hatari na madhila kwa watu
Una uhakika huku ajira portal watakusikia?Pdf za sasa zitoe watu wa nyuma kwanza wasaka ajira wanakeleka kuona wa nyuma hawaitwi na wa kalibuni ndo wanang’ara kwa pdf za placement
Sasa wewe unajuaje kama uko kwenye database au haupo?? We unafikiri utawekwa kwenye database sababu tu uliingia oral hata kama ulifeli oral??Unaoongea sahihi mwaka 2023 walikimbiza database kwa ufaster sana ila mwaka huu mambo yameenda ovyo ukiongea mtu anasema unalalamika.
Mfano mm mwaka jana nilifanya oral tulikuwa 150 walikuwa wanahitaji watu 50 wakaiita kazini.
Haya tangia mwaka jana hawajagusa hiyo database wamekuja kuchukua baada ya miezi 11 na mwezi unayokuja mwaka unaisha inakuwa imeisha hiyo.
Kiukweli msiwateter utumishi wamelemewa
Watu wanawekwa kwenye database kama wamefaulu na Oral pia, kama mwaka jana kwenye database walikua wengi kuliko mwaka huu basi mwaka jana walifaulu wengi oral kuliko mwaka huu. Watu wanafikiri ukisha ingia oral basi umeshafaulu !!!!Mm jana nilikuwa nafanya analysis ya kada yangu.
Mwaka jana database wamechukua watu zaidi ya 200+
Lakini mwaka huu hata 50 hawafiki.
Mimi nitaweka imani na psrs siku nitakapopata kazi
Halmashauri gani ndugu umepata?Hatimaye jina langu limeonekana leo, Glory to God! Kweli kila mtu wakati wake unakuja, tusikate tamaa wakuu (yusto_em)
Kweli we ni joblessMungu awe nawe akuongoze katika utendaji kazi wako kwa faida za wanchi, uaminifu, uadilifu, upendo, uchapa kazi, na uhodali, hivyo ndo adhina kubwa katika safari yako zidi ya nchi yako pendwa(key point uzalendo na Taifa lako), ukiwa mzalendo utapendwa na wanchi katika sector yako na Mungu pia.