Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu samahani naomba msaada naweza pata vip email na password niliibiwa simu na computer way back 2022 inawezekana nilikua na akaunt ajira portal lkn nimesahau kila kitu na 2023 nilifungua email mpya. Sasa napataje ile ya zaman ambayo nilijisajilia ajira portal????
 
Attachments

  • Screenshot_20240720-150510_Chrome.jpg
    Screenshot_20240720-150510_Chrome.jpg
    416.2 KB · Views: 10
Wakuu samahani naomba msaada naweza pata vip email na password niliibiwa simu na computer way back 2022 inawezekana nilikua na akaunt ajira portal lkn nimesahau kila kitu na 2023 nilifungua email mpya. Sasa napataje ile ya zaman ambayo nilijisajilia ajira portal????
Una nini lakin ?

Ulikuwa wapi wapi siku zote kaka haya watumie email ict@gmail.go.tz
 
Dah inatia huruma watu kuwa na hofu namna ya kupata placement ila waliyo nazo (waajiri) hata hawaonii huruma vijana wasaka ajira, wawotoe watu waliyo fanya sahili(interiew) za nyuma kwanza, sawa huu mwenzi pdf zimekuwa nyingi ni jambo la kushukuru ila sasa majority ni waliyo fanya sahili mwaka huu 2024 ila mwaka jana 2023 imebaki kinzungu mkuti(njia panda) why haya mambo yanaenda hivyo, kuna watu wanalalamika sana kuwa wanakalibia mwaka kuisha na hajapangiwa hata member mmoja katika oral interview zao na walifanya kuanzia mwaka jana wezi wa saba na kuendelea, inaumiza sana kwanini serikali isitatue jambo kabla ya hatari na madhila kwa watu
 
Kazi kulia lia tu mshukuru Mungu kwa kila jambo tulieni kila mtu atapata kazi
 
Dah inatia huruma watu kuwa na hofu namna ya kupata placement ila waliyo nazo (waajiri) hata hawaonii huruma vijana wasaka ajira, wawotoe watu waliyo fanya sahili(interiew) za nyuma kwanza, sawa huu mwenzi pdf zimekuwa nyingi ni jambo la kushukuru ila sasa majority ni waliyo fanya sahili mwaka huu 2024 ila mwaka jana 2023 imebaki kinzungu mkuti(njia panda) why haya mambo yanaenda hivyo, kuna watu wanalalamika sana kuwa wanakalibia mwaka kuisha na hajapangiwa hata member mmoja katika oral interview zao na walifanya kuanzia mwaka jana wezi wa saba na kuendelea, inaumiza sana kwanini serikali isitatue jambo kabla ya hatari na madhila kwa watu
Unaoongea sahihi mwaka 2023 walikimbiza database kwa ufaster sana ila mwaka huu mambo yameenda ovyo ukiongea mtu anasema unalalamika.

Mfano mm mwaka jana nilifanya oral tulikuwa 150 walikuwa wanahitaji watu 50 wakaiita kazini.

Haya tangia mwaka jana hawajagusa hiyo database wamekuja kuchukua baada ya miezi 11 na mwezi unayokuja mwaka unaisha inakuwa imeisha hiyo.

Kiukweli msiwateter utumishi wamelemewa
 
Back
Top Bottom