Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hata acc hana..
Ninayo mkuu usinisimange🤣🤣🤣 dg alibiiwa simu kapoteza email na password hajui kila nikimuingizia nida ake inasema ishatumika ina maana alikua na akaunt hapo awali ndio msaada kwenu wakongwe tusaidiane ku solve hili
 
Attachments

  • Screenshot_20240720-150510_Chrome.jpg
    416.2 KB · Views: 11
Ninayo mkuu usinisimange🤣🤣🤣 dg alibiiwa simu kapoteza email na password hajui kila nikimuingizia nida ake inasema ishatumika ina maana alikua na akaunt hapo awali ndio msaada kwenu wakongwe tusaidiane ku solve hili
Haina noma tukomae tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…