Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Najua mkuu ila nakuona unajiaminisha kuwa hakuna interview....
Bora usome isiwepo kuliko kuikuta harafu hukusoma
Hapana .

Mimi mtu mkubwa wa utumishi ndo kaniaminisha hivyo naona uvivu kusoma
Kaniambia hakuna interview hawana bajeti ya kufanyisha interview.

Wataita tu nadhani wa tisa .

Kama kutakuwa na mabadiliko Nita soma tu wiki inanitosha
 
Duh sasa watatumia mfumo gan
 
Mm sijawahi kuwa na imani na database, yn nikiwa nasubir pdf halafu ikitoka bila jina langu kuwepo ndo bc tena sifatilii pdf zinazofuata, labla niziangalie kwa kujifurahisha tuu.

Labla kwa kuwa nimesoma course ya kiseng3
 
Ila mm kada yangu kila pdf ipo na database yetu wanachukua karibia kila wiki .
 
Bc hapo n ww kufanya usaili nyingi na kupambania kuingia oral tuu
Hiyo ndo point nimechelewa kujua.

Mwaka jana kulikuwa na usaili wa mwezi wa 6 mwingine was 8.

Mm wa mwezi wa sita nikaupuuzia hauwezi amini ule wa mwezi wa sita majamaa zangu wawili wakaitwa kwenye taasisi kubwa.

Kuja mm kupiga oral wa nane.

Majamaa psrs wakaikomalia database ya mwezi wa sita wamekuja kuimaliza mwezi wa sita MWAKA huu.

Mwezi uliopita ndo wameanza kuigusa ile ya mwezi wa nane MWAKA jana.

Nikaja kujifunza kutopuuzia saili ile ya mwezi wa sita ilikuwa na nafasi 5 ya mwezi wa nane nafasi 50
 
Utapata tu chief tena soon
 
Yah mzee wangu kushindwa kwenda usaili labla uwe na sababu za msingi sana, ila ht kulala stand huko kwenye usaili bora ukalale tuu cha msingi n kufanya usaili
 
Yah mzee wangu kushindwa kwenda usaili labla uwe na sababu za msingi sana, ila ht kulala stand huko kwenye usaili bora ukalale tuu cha msingi n kufanya usaili
Hii kitu ishasemwa sana humu.Binafsi saili iliyonipa asali ilikuwa Jmosi hlf siku Moja kabla yaani ijumaa nilikuwa Ninafanya Oral Practical Exam (Postgraduate) kwenye chuo flan but nimemaliza zangu OPE sa 12 jion nikakwea chuma to Dom kupiga written mambo yakawa fresh
Wakati huo kn oral nilikuwaga ishapiga naskilizia mkeka maana niliamini nimefanyia poa ila juzi juz nimeona nafasi zimekuwa Re Advertised( probably tulifeli wote)
 
Safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…