Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua mkuu ila nakuona unajiaminisha kuwa hakuna interview....Mm utumishi mkongwe wala usinifundishe
Hapana .Najua mkuu ila nakuona unajiaminisha kuwa hakuna interview....
Bora usome isiwepo kuliko kuikuta harafu hukusoma
Hapana yaani hawa oral yao inaweza kuwa ya maswali mawili tu...wapo weng sana🤣🤣🤣 Baada ya oral kumbuka pia kuna status mkuu kubadilika🤣🤣🤣
Duh sasa watatumia mfumo ganHapana .
Mimi mtu mkubwa wa utumishi ndo kaniaminisha hivyo naona uvivu kusoma
Kaniambia hakuna interview hawana bajeti ya kufanyisha interview.
Wataita tu nadhani wa tisa .
Kama kutakuwa na mabadiliko Nita soma tu wiki inanitosha
Mimi sijui kaka nimedokezwa tu.Duh sasa watatumia mfumo gan
Anawazingua tu..kazeniMimi sijui kaka nimedokezwa tu.
Mm mwenyewe msaka nyoka tu
Mm sijawahi kuwa na imani na database, yn nikiwa nasubir pdf halafu ikitoka bila jina langu kuwepo ndo bc tena sifatilii pdf zinazofuata, labla niziangalie kwa kujifurahisha tuu.Ila mkuu mbaga jobless wanamakasiriko.
Juzi wakina mwifa wametuambia tupambane tuingie oral.
Leo mm nimeweka imani kwamba ninaweza kuitwa kazi kwa sababu nilifanya oral.
Ee mara kuna mtu ananiuliza una uhakika gani kama uko database.
Sasa nini maana ha kuhamasishana kufika oral na tukifika oral iweje wengine wakasirike.
Ila mm kada yangu kila pdf ipo na database yetu wanachukua karibia kila wiki .Mm sijawahi kuwa na imani na database, yn nikiwa nasubir pdf halafu ikitoka bila jina langu kuwepo ndo bc tena sifatilii pdf zinazofuata, labla niziangalie kwa kujifurahisha tuu.
Labla kwa kuwa nimesoma course ya kiseng3
Bc hapo n ww kufanya usaili nyingi na kupambania kuingia oral tuuIla mm kada yangu kila pdf ipo na database yetu wanachukua karibia kila wiki .
Hiyo ndo point nimechelewa kujua.Bc hapo n ww kufanya usaili nyingi na kupambania kuingia oral tuu
Utapata tu chief tena soonHiyo ndo point nimechelewa kujua.
Mwaka jana kulikuwa na usaili wa mwezi wa 6 mwingine was 8.
Mm wa mwezi wa sita nikaupuuzia hauwezi amini ule wa mwezi wa sita majamaa zangu wawili wakaitwa kwenye taasisi kubwa.
Kuja mm kupiga oral wa nane.
Majamaa psrs wakaikomalia database ya mwezi wa sita wamekuja kuimaliza mwezi wa sita MWAKA huu.
Mwezi uliopita ndo wameanza kuigusa ile ya mwezi wa nane MWAKA jana.
Nikaja kujifunza kutopuuzia saili ile ya mwezi wa sita ilikuwa na nafasi 5 ya mwezi wa nane nafasi 50
Yah mzee wangu kushindwa kwenda usaili labla uwe na sababu za msingi sana, ila ht kulala stand huko kwenye usaili bora ukalale tuu cha msingi n kufanya usailiHiyo ndo point nimechelewa kujua.
Mwaka jana kulikuwa na usaili wa mwezi wa 6 mwingine was 8.
Mm wa mwezi wa sita nikaupuuzia hauwezi amini ule wa mwezi wa sita majamaa zangu wawili wakaitwa kwenye taasisi kubwa.
Kuja mm kupiga oral wa nane.
Majamaa psrs wakaikomalia database ya mwezi wa sita wamekuja kuimaliza mwezi wa sita MWAKA huu.
Mwezi uliopita ndo wameanza kuigusa ile ya mwezi wa nane MWAKA jana.
Nikaja kujifunza kutopuuzia saili ile ya mwezi wa sita ilikuwa na nafasi 5 ya mwezi wa nane nafasi 50
Najutaga sana ...Yah mzee wangu kushindwa kwenda usaili labla uwe na sababu za msingi sana, ila ht kulala stand huko kwenye usaili bora ukalale tuu cha msingi n kufanya usaili
Hii kitu ishasemwa sana humu.Binafsi saili iliyonipa asali ilikuwa Jmosi hlf siku Moja kabla yaani ijumaa nilikuwa Ninafanya Oral Practical Exam (Postgraduate) kwenye chuo flan but nimemaliza zangu OPE sa 12 jion nikakwea chuma to Dom kupiga written mambo yakawa freshYah mzee wangu kushindwa kwenda usaili labla uwe na sababu za msingi sana, ila ht kulala stand huko kwenye usaili bora ukalale tuu cha msingi n kufanya usaili
Nafasi ya kutengeneza bado ipo mkuu, mana bado upo hai. 💪Najutaga sana ...
Database inafanya kaz ...tena kaz kubwa sanaMm sijawahi kuwa na imani na database, yn nikiwa nasubir pdf halafu ikitoka bila jina langu kuwepo ndo bc tena sifatilii pdf zinazofuata, labla niziangalie kwa kujifurahisha tuu.
Labla kwa kuwa nimesoma course ya kiseng3
SafiHii kitu ishasemwa sana humu.Binafsi saili iliyonipa asali ilikuwa Jmosi hlf siku Moja kabla yaani ijumaa nilikuwa Ninafanya Oral Practical Exam (Postgraduate) kwenye chuo flan but nimemaliza zangu OPE sa 12 jion nikakwea chuma to Dom kupiga written mambo yakawa fresh
Wakati huo kn oral nilikuwaga ishapiga naskilizia mkeka maana niliamini nimefanyia poa ila juzi juz nimeona nafasi zimekuwa Re Advertised( probably tulifeli wote)
Yah Naelewa mkuu, ila nilichosomea ndo kinanikatisha tamaa mana nakuwa nasubiri ajira za TBC tuu 😔Database inafanya kaz ...tena kaz kubwa sana