dah lazma mtu ujitume, watu usiotegemea wametolewa..ww naniKesho pdf zitakuwa nyingi utumishi wamepona Lona kwenye mikeka Katibu atasaini barua kwa wingi wiki ijayo
Hakuna anayeogopa .
Ila Interview hamna ila msiumie mwezi wa sita watu wanatakiwa wawe kazini
Mikando ni lazima[emoji2][emoji2][emoji2] utumishi Wana uzoefu watu wanaitwa 7000+ na mikando Ipo pale pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Saili ni lazimaWatu wanaogopa interview sijapata kuona...afya mpk leo wanajadili interview ipo au haipo badala ya kuanza kupeana hints za interview
Halloo! hii nimeipenda🙌🤗Siku nyingi sija comment humu, lakini nina kaujumbe ambako wengi mumekazoea na mnakachukulia poa, na bado sitoacha kukasema tena na tena. “Kila mmoja wetu humu, bila kujali anapitia magumu kiasi gani, siku yake ya kuyavuka ipo na inakuja.”
Mtapata ajira, tena kwa wakati sahihi. Sio wakati ambao kila mmoja wetu anaoutaka ila ni wakati alioukadiria Mungu.
CODE in one and two.
Naona wataita watu direct kazini😂Hivi wakuu TANAPA bado hawajatoa??
Mwaka jana mwezi wa sita ilikuwa interview yangu ya kwanza kufanya nilimaliza chuo 2022.Kwa bahati nzuri Mungu akanisaidia nikaingia oral kwa mara ya kwanza.
Kimbembe ikawa ni kusubiria placement ...kwa kweli nilikuwa na kiherehere sana😅😅 ikawa kila siku nikulalamikia placement kwa nini hawatoi majina,nikaanza ku imagine siku nikiwa kwenye gari naenda kuchukua barua(ikumbukwe ni interview ya kwanza😂😂) basi nikawa moto na kila mtu home akawa ananipa matumaini ananiaminisha kwamba lazima utapata hii nafasi usihofu😅 nami nikaanza kujipanga kuanza kazi kama vile baba yangu ndiye anaeajiri watu kwamba mimi kupata ni uhakika...
Basi Mungu alivyo mwema mwezi wa 8 placement zikatoka kuangalia!!!.... too bad!!! sikuwemo nikahisi moyo kuvunjika sana maana expectation niliyokuwa nayo ilikuwa kubwa mno nikajipa moyo labda huenda ntapata kupitia database...baadae majina ya database yakawa yanatoka kila jina simo nikaanza kujikatia tamaa🤦🤦...baada ya Muda wakaacha kutoa majina kwenye database ya kada yetu kwa muda mrefu hapo ndo nikajua kabisa kuwa nilishakosa.
Basi nikawa nimekata tamaa na interview (japo nimefanya moja nilikata tamaa kulingana na maisha na gharama za kufanya interview dodoma) nikawa nimeridhia rasimi maisha ya kuwa mwanakijiji😅nikapoteza matumaini ikafika hatua mpaka nikaamua ku logout humu jf ili nisipost wala kucomment chochote.
Lakini Mungu alivyo wa ajabu jana pdf ya tarehe 20 nimeliona jina langu kwenye pdf kama utani tu yani😅😅😅(nina furaha kubwa sana na namshukuru Mungu)
Nilichojifunza ni kwamba kinachofanya maumivu ya kukosa jina lako kuwa makubwa ni kuwa na EXPECTATION KUBWA za kuamini kwamba utapata basi ukikosa unajikuta unaumia sana na kujiuliza maswali mengi.
...Niendelee kuwatia moyo ambao bado hamjafikiwa SIKU YENU ITAFIKA TUWEKE MATUMAINI KWA MUNGU NA KUPUNGUZA EXPECTATIONS TUTAFIKIWA TU🙏
Ilikua ile oral ya customer service nin?
Umesahau halaf awe anakaa Daslam.. 🤣🤣Ngoja majukumu yaongezeke, umepanga chumba kimoja na huna familia 700k+ utaiona nyingi
Ahaaa kuna ile ya watu wa BBA nayo wanaidonoa donoa sanaHapana haikuwa hiyo
!Mmeamkaje wasakatonge
Vip leo kuna pdf au. Tulale
Kaka nimekukumbukakumbe kuutoka ujobless ndo mbinde hivi.. [emoji1787] [emoji1787]
Mwezi huu lazima upande kimbinyikokumbe kuutoka ujobless ndo mbinde hivi.. 🤣 🤣
nipo kaka sema kunaishu ilinikeep busy kidogoKaka nimekukumbuka
mmmh sidhan 🤣 🤣Mwezi huu lazima upande kimbinyiko