Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahaaa.Kuna Kaa Raha Fulani Ivi akaelezeki uko kwenye gari unaenda dodoma masjala ya wazi kuchukua barua alafu ndani ya gari umekaa siti ya mbele mbele au katikati hakuna mtikisiko alafu uwekwe wimbo unaoupenda asee unaeza imba Kwa sauti kubwa mwanzo mwisho, yaan hapo ata uwe wimbo wa kihindi au kichina[emoji2][emoji2] na ukatoa matamshi sawa na uo wimbo na unaeza imba hadi beat lake[emoji2][emoji2] dah, Asee hongereni sana mliolamba asali, leteni shuhuda wakuu
Hakikisha unapambana bila kukataa tamaa uje usimulie hii raha.
Ujobless sio mzuri tena uwe huna mishe zozote