Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda unakuwa legelege sana...mayai mayai...Kwahy wakuu mmesema unaweza kupimwa kijambio kama kipo salama na bado ukakosa kazi 😂 sasa hapo unakuwa umekosa kazi kwa sababu ipi 😂
Ooh kumbe nianze kujifua 😂Uwe na pumzi ya kupiga walau pushup 30
Eeeh hapo nadhan wenye pumu...sickle cell...presha...kisukari..ukimwi...Ooh kumbe nianze kujifua 😂
mambo yapo mengi tu 🤣 🤣Kwahy wakuu mmesema unaweza kupimwa kijambio kama kipo salama na bado ukakosa kazi 😂 sasa hapo unakuwa umekosa kazi kwa sababu ipi 😂
Mbaga jr usicheke mkuuKwaiyo wanangu majobless wote mnasema tukomae tuingie oral sio
Nakubali
Hongera Sana mkuu hii inaonyesha tayari ushalamba asali, Mungu akujalie afya njema Tu mkuuJamani wana jamvi nina kaswali hapa, TANAPA na mimi wameniita kunikanda lakini sasa usaili wa mchujo hakuna(Alhamdulillah) usaili uliopo ni wa vitendo(zoezi la kupima Afya ) na Oral Swali langu lipo hapo kwenye zoezi la kupima Afya hamna Tumazoezi kweli hapo? Nianze kujifua?🤔View attachment 3049204
Soma tangazo la kazi mkuu kila kitu wameweka hapoNaombeni msaada wakuu. Hivi mtu mwenye certificate ya business administration anaweza kuomba ajira hizo za mtendaji wa mtaa/kijiji. ?
🤣🤣🤣🤣🤣Kwahy wakuu mmesema unaweza kupimwa kijambio kama kipo salama na bado ukakosa kazi 😂 sasa hapo unakuwa umekosa kazi kwa sababu ipi 😂
Ndio inakubali mkuu,Naombeni msaada wakuu. Hivi mtu mwenye certificate ya business administration anaweza kuomba ajira hizo za mtendaji wa mtaa/kijiji. ?
Tenanaskia riziwani kakandwa
Ndio boss wako sasa hvnaskia riziwani kakandwa
Soma tangazo la kazi mkuu kila kitu wameweka
Daa sasa sijui ndugu yangu anakosea wapi maana ana certificate ya business admn lakini akiomba utendaji wa mtaa system inagoma kuwa hajakidhi qualifications.Ndio inakubali mkuu,
Kwenye status hapo mkuu wanaandika reason for failed mkuu, tuanzie hapo kwanzaDaa sasa sijui ndugu yangu anakosea wapi maana ana certificate ya business admn lakini akiomba utendaji wa mtaa system inagoma kuwa hajakidhi qualifications.
Au usimamizi wa fedha ni watu wa finance/banking?