Mamamushika
Member
- Jul 17, 2024
- 21
- 99
Nyie wa tanapa safari ni ndefu mchujo wao sio wakitoto unapima afya, magonjwa yote kama unaijua mgojwa Usiende wanakupunguza baada ya hapo mnachapwa oral mnatulia ukipata Unaenda mafunzo ya jeshi lao miezi mitatu tena bila mshahara mafunzo magumu kama JKT ukifeli mafunzo unafukuzwa upati ajira safari nindefu