El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
mpaka sasa hawajapost tangazo la halmashauri hata moja wanakikao nin..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi za kazi za walimu zimetangazwa hivi karibuni, kwann usiombe??Wakuu m mwalimu nipo mbeya nahitaji sehemu nkajtolee kufundsha fedha kwangu sio kpaumbale sana, msaada please najua humu tupo watu wengi na connection kubwa pia. Masomo ni biology na geography
Mkuu vipi, nalikwea jukwaa tokea Mbagala Rangi . Hamna mpya?mpaka sasa hawajapost tangazo la halmashauri hata moja wanakikao nin..??
mkuu nakushauri utumie printer ikutolee vizuri...Habari Wakuu...samahani Kuna njia ya kuondoa watermark ya CamScanner baada ya kuscan vyeti??....
Shukran asante kwa ushaur wako mkuumkuu nakushauri utumie printer ikutolee vizuri...
Hii ni ishu serious mkuu...usibahatishe bahatishe
Kuna app nyingine nzuri tu ambazo hazina watermark au hizo digital seals zaoHabari Wakuu...samahani Kuna njia ya kuondoa watermark ya CamScanner baada ya kuscan vyeti??....
mapichapicha tu hamna jipya.Mkuu vipi, nalikwea jukwaa tokea Mbagala Rangi . Hamna mpya?
Tukutane keshoshwaaaaa
ndo mida yao lakini hiiTukutane kesho
Hata kada yangu haipoLeteni shuhuda wakuu pdf lote ilo
kada tu kuiona mtiti 🤣 🤣Hata kada yangu haipo