El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
tusubiri pdf la kesho nalo kama tutakuepoTumor maua yake kwa kututia moyo.
Maana kuna muda jobless unakata moto akili inakwama kabisa.
Moja haikai mbili ndo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tusubiri pdf la kesho nalo kama tutakuepoTumor maua yake kwa kututia moyo.
Maana kuna muda jobless unakata moto akili inakwama kabisa.
Moja haikai mbili ndo kabisa
Aminaa.tusubiri pdf la kesho nalo kama tutakuepo
kweli aisee mie nahesabu pdf 3 za mwisho najiengua.hizi hela za bando nianze kununua tofali aisee🤣🤣Aminaa.
Mimi nakaribia kuacha kufuatilia pdf kama jina litatoka nitajua najiona najipa stress za bure
Mimi najiengua kidogo kama nitapata kazj watanipigia simu watu kufuatilia database usipokuwa makini unaweza kupata phychtrickweli aisee mie nahesabu pdf 3 za mwisho najiengua.hizi hela za bando nianze kununua tofali aisee[emoji1787][emoji1787]
Zimepanda beiNingependa kaka Mwifwa atambuliwe na apewe heshima yake mtu muhimu Sana katika huu uzi wetu pendwa was safari ya kulamba asali
Asali ya Nyuki wadogo ndio sokoni haipo kabisa mpaka watu tunatamani ya harmashauri yoyote ile ili mradi iwe asaliAsali
Zimepanda bei
EWURAAsali ya Nyuki wadogo ndio sokoni haipo kabisa mpaka watu tunatamani ya harmashauri yoyote ile ili mradi iwe asali
Ni huzuni kwa kweliEWURA
NSSF
NHIF
BOT
TRA
TACAID
TPA
TPDC
HATUZIONI TENA KWA MIKEKA
Duu unagonga muhuri wa nani mkuu vyote vya kuanzia o level mpaka chuoIlikuwa 2021 niliitwa ilikuwa nafasi ya monitoring and evaluation Rea. Ila kwa sasa lazima ukagonge muhuri
mwanasheria certification of true copyDuu unagonga muhuri wa nani mkuu vyote vya kuanzia o level mpaka chuo
Sawaaa mkuu ngoja nikagonge sasamwanasheria certification of true copy
Hata mahakama ya mwanzo sio dhambi.mwanasheria certification of true copy
Committee Clerk.NAFASI ZILITANGAZWA 10, ORAL TUKAENDA 100, MPAKA SASA WAMEITWA KAZINI 30, MNANIAMBIAJE?! HALI TETE
Umejuaje? au mwenzangu?Committee Clerk.
Zinaendelea jiandae tu😅😅
Hapana tu, nazikumbuka maana Kuna jamaa aliomba Wakati anajiandaa kwenda interview akaitwa kazini kupitia databaseUmejuaje? au mwenzangu?
Haina noma, maana majina yanatoka tu lakini bilabilaHapana tu, nazikumbuka maana Kuna jamaa aliomba Wakati anajiandaa kwenda interview akaitwa kazini kupitia database