Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nashukuru Mwenyezi Mungu,hatimaye nami nimeona jina langu ktk placement jioni hii....hakika ni Kam ndoto kwangu maana huu msoto haukuw rahis ila naamin wkt wa Mungu ndio wkt sahihi,kila mmoja wetu humu nna Imani atapata kazi kwa muda aliopangiwa na Mungu....
 
💪
 
Hongera sana kaka mwenyezi mungu akutangulie huko kaka nasi tupo nyuma japo hatujui bahati itakuja baada ya mwaka au lah
 
Mkuu hakika Mwenyezi Mungu hutoa Kwa wakati kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
 
Hongera sana mkuu
 
Hongera sana, uvumilivu ni ushindi. Huwezi kushinda bila kuvumilia misukosuko na kuendelea kupambana.

Kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…