Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sasa mkuu mm rejea post angu ya juu ya kuomba huo ushauri 😂😂🤣🤣 japo na mimi nina GPA ndogo kwa michepuo ya sciance na sio arts
Sawa mkuu ila majority asa wanaotoka vyuo vya serikali GPA zimeanfukia 2.0 mpaka 3.0 na 3.4 pia😂😂😂
Ndo maana zile nafasi za TUTORIAL ASSISTANTS watu wanazikodolea macho tu hawawei wengi sana😁
 
Nafikiri shida nyingine sio watu kuzikodolea macho Ila wengi wao hawazipendi hizo sijui tutorial, tutorial assistance
 
Hakuna mkuu ni GPA zinakaba mkuu imagine mtu wa IT Mambo ya sciance ni ngumu sana kupata hiyo GPA mkuu
 
Kuna mdada kajakuchukua barua leo akafungua akakuta Kupangiwa muleba akaanza kulia anarudisha barua wambadilishi😭😭 hawezi enda muleba Almashauri wakamjibu rudisha barua sini pale subiri intervew nyingie alafu tutapangia mwingine ambaye anahitaji 🤓🤓🤓
Kwani kwenye pdf hakuona hiyo muleba?
Huyo binti hajielewi
 
Kuna mdada kajakuchukua barua leo akafungua akakuta Kupangiwa muleba akaanza kulia anarudisha barua wambadilishi[emoji24][emoji24] hawezi enda muleba Almashauri wakamjibu rudisha barua sini pale subiri intervew nyingie alafu tutapangia mwingine ambaye anahitaji [emoji851][emoji851][emoji851]
Watoto wa mawziri .

Mm na jamaa yangu kalamba asali sehemu nzuri halfu anasita sita kwenda.

Kuna mie natamani popote kwanza
 
Kuna mdada kajakuchukua barua leo akafungua akakuta Kupangiwa muleba akaanza kulia anarudisha barua wambadilishi😭😭 hawezi enda muleba Almashauri wakamjibu rudisha barua sini pale subiri intervew nyingie alafu tutapangia mwingine ambaye anahitaji 🤓🤓🤓
Ukiona hivyo ni mtoto wa mkubwa kashatonywa kuna mkeka unakuja wa Taasisi na maelekezo kashapewa afanye hivyo...
Hayo mambo watoto wa wakulima hatuna
 
Kuna mdada kajakuchukua barua leo akafungua akakuta Kupangiwa muleba akaanza kulia anarudisha barua wambadilishi😭😭 hawezi enda muleba Almashauri wakamjibu rudisha barua sini pale subiri intervew nyingie alafu tutapangia mwingine ambaye anahitaji 🤓🤓🤓
Dadeq kanyooshwa vizuuuuri🤗 yaani sisi tunahangaika tupate hiyo check number halafu kuna mtu anadengua, halfu wa hivyo inabidi wasiwe wanafanya interview, maana wanatujazia Database yetu buree, sasa huyu si alikua ameziba nafasi yangu kabisa🤔🤔TOTO JINGA KWELI😡
 
Back
Top Bottom