Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unaweza kushare link hii na rafiki au ndugu yako ajiunge humu pia ili asipitwe na taarifa mbalimbali kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuhusu masuala ya ajira.

Habarini hope mko poa, ningependa niwatie moyo wenzangu ambao bado hamjafanikiwa kupata ajira kuwa wakati wa Mungu ni wakati sahihi, nimefuatilia uzi huu uzi tangu mwaka 2022 nikiwa sina ajira ila kupitia shuhuda za wadau humu nikajitia moyo kuwa namimi nitatoboa, mwaka 2023 nikafanikiwa kufanya interview ambayo ndio ilionipatia kazi na sasa nimesahau machungu ya nilopitia.
Ushauri wangu, usiache kufanya interview yoyote hata iwe na post moja, Jiandae vizuri huku ukimtanguliza Mungu pia, finally kuwa na subra kwani huwezi kujua kwanini mwingine amepata wewe umekosa.
Asanteni.
Angalia tu isije ukawa upo Halmashauri.

#YNWA
 
Unaweza kushare link hii na rafiki au ndugu yako ajiunge humu pia ili asipitwe na taarifa mbalimbali kutoka Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuhusu masuala ya ajira.

Sasa hiv unahaki ya kutembea kifua mbele....umeupiga mwingi kama spain
 
Sasa wewe una bahati nzuri ulivyokosa TRC. TRC ni michosho sana.
Wapendwa nashukuru sana Mungu hatimae na mimi nimekumbukwa see nilambe asali mimi Ndio nilikosa nafasi za TRC lakini sikuvunjika moyo nilishukuru Mungu kwakweli. Japo nilikosa maneno mengi. Leo nineona nguvu ya kushukuru Mungu na mimi nimo nawatia moyo kufika oral Nijambo jema zaidi nimeona mkono wa mungu kwenye Shirika nono kuliko TRC
 
Back
Top Bottom