Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dah kuna jobless Wanakiburi 😳😳 muleba pazuri Ivo kitendo chakuona kichwa cha barua umepangiwa muleba haaa nisingesoma maelezo mengine ningeishia hapo hapo, iyo barua ningeimalizia kuisoma muleba Baada ya kufika sasa
 
Yani uyo akithubutu kusaini nadhani asuburi interview nyingine ndio bye bye
 
Sasa hakufanya interview alafu kapata chance kama iyo anakataa. Wanavomuambia asaini asubiri interview nyingine ni mtego huo
Mtu umepitia machungu ya kukandwa huwez leta utani
 
Kwani wakati anaenda kuchukua Barua alikuwa hajui kuwa kapangiwa Muleba?
 
Ila watu wana vichaa sio bure🤣🤣🤣..sasa alitaka nani aende?na yeye apangiwe wapi?? Na kama nani?
 
Kwani wakati anaenda kuchukua Barua alikuwa hajui kuwa kapangiwa Muleba?
Basi tu kujikuta,mm ile asubuh naend kuchukua barua nkakutana na mdada katka kuchat tukaulizana kila mtu alipopangiwa basi tu akaanza mm sjui kwann wamenipangia kule,na mm akaniangalia kama vile sijadeserve kupangiwa iyo sehemu vle,nkamwambia kila mtu ana ridhiki yake na Mungu ndo mpangaji..Ebu tuwe na mioyo ya shukrani jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…