captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Dah kuna jobless Wanakiburi 😳😳 muleba pazuri Ivo kitendo chakuona kichwa cha barua umepangiwa muleba haaa nisingesoma maelezo mengine ningeishia hapo hapo, iyo barua ningeimalizia kuisoma muleba Baada ya kufika sasaKuna mdada kajakuchukua barua leo akafungua akakuta Kupangiwa muleba akaanza kulia anarudisha barua wambadilishiðŸ˜ðŸ˜ hawezi enda muleba Almashauri wakamjibu rudisha barua sini pale subiri intervew nyingie alafu tutapangia mwingine ambaye anahitaji 🤓🤓🤓