SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Kama unataka kua Tutorial Assistant basi nina habari mbaya kwako. Ila kama ni kazi zingine fresh tu. Sema na wewe GPA ya 2.7 halafu course yenyewe ni public administration au mlikua mnafundishwa kwa kichina!!!Habari ya asubuhi. Wakuu nina GPA ya 2.7 ya public Administration inaweza nisaidia kupata kazi kupitia UTUMISHI au nilime viazi tu huku njombe.
Maokoto gani??Zina maokoto balaaaa
Mkuuu hiyo yangu kubwa mkuu ni lower second kuna watu wana GPA YA 2.3 udom department ya political sciance and public administration wale ma lecture sio mkuuu. Kama nadangaya kuna watu kama wamesoma udom collage ya college of humanities and social sciences watasema mkuu mtu ana GPA ya 2.0🤣😂😂😂😂Kama unataka kua Tutorial Assistant basi nina habari mbaya kwako. Ila kama ni kazi zingine fresh tu. Sema na wewe GPA ya 2.7 halafu course yenyewe ni public administration au mlikua mnafundishwa kwa kichina!!!
Kweli mkuu maokoto yapo sana mkuuMaokoto gani??
Mkuuu naomba connection mdg wako nimepauka adi ma ex wananikimbia mkuuHongereni mliolamba asali mkawe watumishi wenye weledi na wachapa kazi. Karibuni utumishi wa Umma
Hapo ni kushukuru kwa kile mtu umepatatu ili uanzie hapo mengine mbele ya safari, sisi kipindi tunamalisa kuna watu walienda kipiga kazi za bank exm bank ila walikuwa ni engineers wengine ni logistics na wengine kazi zingine, walijipa matuani kuwa tuangalia pesa tu carier yetu badae so kokote ni kambi tu cha msingi ujue kuitumia akiri vyema itambue badget yako na management na project zako zingine ziendeDaaah ao wana uhakika mkubwa mno,mwenzangu na mm alooo popote ni kambi😂
Nani huyo mbwa wasimpe kabisa aiseeKuna mdada kajakuchukua barua leo akafungua akakuta Kupangiwa muleba akaanza kulia anarudisha barua wambadilishi😭😭 hawezi enda muleba Almashauri wakamjibu rudisha barua sini pale subiri intervew nyingie alafu tutapangia mwingine ambaye anahitaji 🤓🤓🤓
Mwanangu wewe kaa kwa kutulia asali sio mda zitaanza kulambwa mkuu na wewe kozi yako ni moja kozi ambazo ni marketable otherwise una GPA ya 1.5ICT tumesahaulika...ngoja tukae pemben
Hiyo unayo ww tu...wenzio tulikuwa serious tukaitende haki pesa ya bumMwanangu wewe kaa kwa kutulia asali sio mda zitaanza kulambwa mkuu na wewe kozi yako ni moja kozi ambazo ni marketable otherwise una GPA ya 1.5
Umeomba za watendaji???Wanajukwaa hivi saili za utumishi vituo huwa vinakuwepo mikoa yote au baadhi ya mikoa tu, na je ukipangiwa mkoa fulani na uko mkoa mwingine, unaruhusiwa kufanyia kwenye mkoa uliopo au inakuwaje hapo
Hapana ni taasisi.Umeomba za watendaji???
Watakwambia mkuu wapi pa kukutana mkuuHapana ni taasisi.
Wameshapanga kituo ila sasa ndio mtu yuko mkoa mwingine, ndio nilikuwa nauliza saili za utumishi huwa zinafanyika mikoa yote au baadhi ya mikoa tu, na je mtu anaruhusiwa kufanyia mkoa mwingine tofauti na aliopangiwa auWatakwambia mkuu wapi pa kukutana mkuu
Huyu mnyasa ameshakuja na nasaha zakeHapo ni kushukuru kwa kile mtu umepatatu ili uanzie hapo mengine mbele ya safari, sisi kipindi tunamalisa kuna watu walienda kipiga kazi za bank exm bank ila walikuwa ni engineers wengine ni logistics na wengine kazi zingine, walijipa matuani kuwa tuangalia pesa tu carier yetu badae so kokote ni kambi tu cha msingi ujue kuitumia akiri vyema itambue badget yako na management na project zako zingine ziende
Ngoja waje wajuvi na waliokula asali mkuuWameshapanga kituo ila sasa ndio mtu yuko mkoa mwingine, ndio nilikuwa nauliza saili za utumishi huwa zinafanyika mikoa yote au baadhi ya mikoa tu, na je mtu anaruhusiwa kufanyia mkoa mwingine tofauti na aliopangiwa au
Itakuwa asili yao ni malawiHuyu mnyasa ameshakuja na nasaha zake
Ila mkuu GPA yangu ndogo sana aisee mpaka aibu nilikua nawaza madem tu aisee.Hiyo unayo ww tu...wenzio tulikuwa serious tukaitende haki pesa ya bum