Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Sociology kulikua na vyombo hatari aiseeKama umesoma udom watoto wa sociology walikuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sociology kulikua na vyombo hatari aiseeKama umesoma udom watoto wa sociology walikuua
Na kwenye kitanda chako ukaweka mapazia kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣Sociology kulikua na vyombo hatari aisee
Tulia kwanza mkuu zile nut za dabo deka mpKa zililegeaNa kwenye kitanda chako ukaweka mapazia kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
TA, labda ya vyuo vya Kati na siyo vyuo Vikuu. Na Kama ni vyuo Vikuu labda TEKU. Universities kwa TA lazima GPA atleast/minimum 3.8Nina GPA ya 3.6 naweza pata TA
Nina GPA ya 3.6 naweza pata TA
Mfumo mbovu tu wa serikali , hii mizee imeshaona kama ajira za serikali ni zao tu ,Jamani kuna halmashauri nipo napiga intern aisee mimi nahangaika kupata michongo kuna wazee wapo kwenye viti ni wazee barabara hawataki kustaafu kabisa nao wanasema mtaani kwa moto
Wameshapanga kituo ila sasa ndio mtu yuko mkoa mwingine, ndio nilikuwa nauliza saili za utumishi huwa zinafanyika mikoa yote au baadhi ya mikoa tu, na je mtu anaruhusiwa kufanyia mkoa mwingine tofauti na aliopangiwa
Mkuuu hii nchi ni anakujua nani sio unajua nini mkuuMfumo mbovu tu wa serikali , hii mizee imeshaona kama ajira za serikali ni zao tu ,
Forgery na rushwa kwenye umri .
Jitu limezeeka halitaki kustaafu ,halafu kila siku wanafanya mockery Kwa vijana graduates wasio na biashara wala means zozote za kujiingizia kipato .
Kwanza kustaafu ilitakiwa iwe miaka 55 tu .
Kama mtu kashindwa kujipanga kiuchumi miaka yote hiyo ni bure tu , atoke wengine watake over .
Mkuu mm nilipataga 3.7 yaani hii kitu inaniuma hadi leo nilikonda kutafuta 3.8 bora ningekula bata tuTA, labda ya vyuo vya Kati na siyo vyuo Vikuu. Na Kama ni vyuo Vikuu labda TEKU. Universities kwa TA lazima GPA atleast/minimum 3.8
Vipo pia vyuo vya serikali huwa wanaweka kigezo 3.5,so usikariri maana huo ni muongozo wa TCU na NACTVETTA, labda ya vyuo vya Kati na siyo vyuo Vikuu. Na Kama ni vyuo Vikuu labda TEKU. Universities kwa TA lazima GPA atleast/minimum 3.8
Kwa uchache tu pitia hili TANGAZO ila uwe unasoma matangazo vzr mkuu utapishana na mzinga wa asali ukikariri kama hivyo maana matangazo mengi huwa yanataka 3.5 pitia hii pdf kama mfanoMkuu mm nilipataga 3.7 yaani hii kitu inaniuma hadi leo nilikonda kutafuta 3.8 bora ningekula bata tu
Mkuu mm nilipataga 3.7 yaani hii kitu inaniuma hadi leo nilikonda kutafuta 3.8 bora ningekula bata t
Elewa Universities Kama UDSM, MZUMBE, UDOM, MUHAS na vingine na siyo Institute kama IFM au IAA.Vipo pia vyuo vya serikali huwa wanaweka kigezo 3.5,so usikariri maana huo ni muongozo wa TCU na NACTVET
Ulipata faida gani baada ya kufanya uzinz sanaTulia kwanza mkuu zile nut za dabo deka mpKa zililegea
Yap! atleast nilitaka niongeze vigezo vya kuajirikaDaah pole sana na lengo ulitaka uwe University Teaching Assistant?
Elewa Universities Kama UDSM, MZUMBE, UDOM, MUHAS na vingine na siyo Institute kama IFM au IAA.
GwandileeUlipata faida gani baada ya kufanya uzinz sana
Ulipewa chet?
Ok sawaGwandilee
Ukutamya😀😀Gwandilee
Sijazungumzia mishaharaTA ni wale wale na viwango vya mishahara vinafanana,usibabaike na majina,nina marafiki wanafundisha hivyo institute na University kwa taasisi za umma