Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

TCU walisha harmonize siku nyingi Sana
Universities atleast 3.8
Institutes 3.5
Endelea kukaa na miongozo outdated.
Npe tofauti ya institute na universite mfano TIA,NIT,IAA na UDSM,UDOM,SUA tuanzie hapo maana kila chuo kina miongozo na vgezo vyake pia hata kwenye kuadmit wanafunzi kwahyo haziwezi lingana lakini tutorial na assistant lecturer wa UDSM na TIA mshahara ni sawa wanatofautina kwenye uzito wa kozi tu na ndo panapotofautisha mishahara yao, mfano tutorial wa sociology hawez kulingana na tutorial wa MD mshahara
 
Unaweza fanyia popote, wahi asubuhi utoe taarifa kwa wasimamizi kua umebadilisha kituo, kisha watatransfer mtihani wako
Oohh kwa mfano hata kama uko geita unaweza fanyia tu huko huko, na unaenda maeneo gani kuwataarifu kuwa umebadilisha kituo, au unaweza watafuta hata kwa simu tu
 
Huwezi badili kituo chakufanyis interview wakisha pangs wamepanga Ndio maana unambiwa Uwe unabadilishw location kabla yakuomba kazi usipo enda ulipo pangiwa hutofanya maana huko unakotaka kwenda jina lako halipo
una uhakika?
 
una uhakika?
Huwezi badilisha kituo kirahisi hivyo Mkuu.
Screenshot_20240801-191641.jpg
 
una uhakika?
Yeah yuko sahihi
Mabadiliko utolewa kabla ya siku ya usahili tangazo utolewa mapema watu wafanye update current address ili wakupange ulipo muda huo
Kinyume na hapo siku ya usaili haiwezekani maana kila kituo upangwa kwa idadi ya majina yaliyotumwa kwa usaili wa siku hiyo hivyo huwezi badili kituo cha usaili siku ya usaili
 
Back
Top Bottom