Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huwezi badili kituo chakufanyis interview wakisha pangs wamepanga Ndio maana unambiwa Uwe unabadilishw location kabla yakuomba kazi usipo enda ulipo pangiwa hutofanya maana huko unakotaka kwenda jina lako halipo
Kubadili location kabla ya kuomba kazi ni ngumu maana haya maisha hayatabiriki mtu leo anaweza kuwa mkoa huu kesho akahamia mkoa mwingine, ukizingatia hizo ajira zenyewe za utumishi huwa wanachelewa kuita interview mtu kaomba ajira mwezi wa nne wanakuja kuita interview mwezi wa nane, wakati mwingine mtu anaweza akahama location kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake na kwa wakati huo ikashindikana kurudi kwenye mkoa aliopangiwa labda waseme tu hiyo ni njia mojawapo ya kupunguza watu
 
Shirika la rail tanzania (TRC) au wizara ya uchukuzi ingewachukuwa vijana wa mechanical, automobile, automotive, electro-mechanical, electrical and electronics, telecom na wave, aerodynamic, locomotive Engineer waliyopo data base au kama hawapo wa kutosha itoe tangazo la kazi , then iwapeleke Korea ya kusini kuweza kuwaongezea ujuzi wa kitaalamu kuhusu system zote za ki-engineering zinazo husiana na mradi wa sgr locomotive na train(car(coach)) zake zote, ili mradi uimarike usonge mbele, kuliko kutegemea techlogy ya ndani angali vitu na vifaa vyote ni vya nje(mataifa mengine), kwa maana wana ushirikiano mzuri na korea ya kusini kwa mambo ya reli kwa sasa au hata uturiki, hiyo itasaidia mradi kukua zaidi na kukuza uchumi na kufikia miaka halisi miaka 100 ya mradi ulivyo sainifiwa(design), serikali isione hasara kuwapeleka vijana korea maana after mafunzo taifa litaona faida
 
Ase Unareport kazi kumbe anae kupokea kazi ni n I intern alafu anakuuliza umepataje hii nafasi [emoji123][emoji123] ila kujitolea k wenye ofisi za serekali kuna mda akili zina lala Huoni kazi unajiridhisha [emoji851][emoji851]mimi nilijitolea mahali Miaka mi tano (5) ukiniona utajua mtumishi [emoji38][emoji38][emoji3060] siku tumefukuzwa tulikuta tangazo notes bodi !! Walikua wanatupa moyo tunatafuta kibali tuwajiri tukafukuzwaaa bila maelekezo kujitolea sana jau
Hahahahaa.

Mwambie akazane kujitolea, huku akiendelea kususia PSRS akisubiri kuajiriwa hapo moja kwa moja.
 
Namshukuru Mungu sana nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni interview yangu ya kwanza kufanya hapo mwezi wa tano Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia.
Hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu.

God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
 
Ho

Hongera
 
Hongera sana mkuu
 
Hongera sana
 
Dah namimi kijana wa Rangitatu leo baada ya kutoka kuuza mtumba narudi gheto napumzika navuta pumzi ndefu, nakuta Mungu amenibless nimelamba ASALI. DAH struggle hii haikua rahisi lakini Mungu mwema. Nawaombea wote Mungu awatendendee DATABASE IS REAL na written nilitoboa kwa mbinde marks 53. Wakuu Elmarabiosh, Utawala Mungu awaone nanyi nawengine wote mnaofatilia uzi huu since dei one
 
Back
Top Bottom