Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaDah namimi kijana wa Rangitatu leo baada ya kutoka kuuza mtumba narudi gheto napumzika navuta pumzi ndefu, nakuta Mungu amenibless nimelamba ASALI. DAH struggle hii haikua rahisi lakini Mungu mwema. Nawaombea wote Mungu awatendendee DATABASE IS REAL na written nilitoboa kwa mbinde marks 53. Wakuu Elmarabiosh, Utawala Mungu awaone nanyi nawengine wote mnaofatilia uzi huu since dei one