Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Namshukuru Mungu sana nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni interview yangu ya kwanza kufanya hapo mwezi wa tano Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia.
Hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu.

God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Hongera sana
 
Dah namimi kijana wa Rangitatu leo baada ya kutoka kuuza mtumba narudi gheto napumzika navuta pumzi ndefu, nakuta Mungu amenibless nimelamba ASALI. DAH struggle hii haikua rahisi lakini Mungu mwema. Nawaombea wote Mungu awatendendee DATABASE IS REAL na written nilitoboa kwa mbinde marks 53. Wakuu Elmarabiosh, Utawala Mungu awaone nanyi nawengine wote mnaofatilia uzi huu since dei one
Hongera masta
 
Maamuzi ya raisi wa Senegal youngest president in Africa
 

Attachments

  • 417783F9-E6F3-4C0D-8419-31BBCB32811A.jpeg
    417783F9-E6F3-4C0D-8419-31BBCB32811A.jpeg
    490.7 KB · Views: 9
Back
Top Bottom