captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Acha kuwaza GPA...soma utoboe saili ..Ila mkuu GPA yangu ndogo sana aisee mpaka aibu nilikua nawaza madem tu aisee.
Mkuuu naomba connection mkuu sio kazi au hata ya maswali mkuu natanguliza shukraniAcha kuwaza GPA...soma utoboe saili ..
GPA sio hela
.
Nimeomba post ya afisa tawala bunge daraja 2 mkuuAcha kuwaza GPA...soma utoboe saili ..
GPA sio hela
.
Kama umesoma udom watoto wa sociology walikuuaIla mkuu GPA yangu ndogo sana aisee mpaka aibu nilikua nawaza madem tu aisee.
Nina GPA ya 3.6 naweza pata TAMkuuu naomba connection mkuu sio kazi au hata ya maswali mkuu natanguliza shukrani
GPA 3.6 Naweza kua TA Na maswali ya usail yakuaje nijipangeKama umesoma udom watoto wa sociology walikuua
Hakuna mkuu wewe ni mwalimuBSced (Biology and geography) GPA 3.6, naomba kujua kazi zingine nazoweza omba utumishi nje ya ualimu na tutorial assistant?
Shukrani ni muhimu, hii ni starting point ya kuelekea palipo pazuri zaidi endapo mtu akiamua kupambanaBasi tu kujikuta,mm ile asubuh naend kuchukua barua nkakutana na mdada katka kuchat tukaulizana kila mtu alipopangiwa basi tu akaanza mm sjui kwann wamenipangia kule,na mm akaniangalia kama vile sijadeserve kupangiwa iyo sehemu vle,nkamwambia kila mtu ana ridhiki yake na Mungu ndo mpangaji..Ebu tuwe na mioyo ya shukrani jamani.
Kazi zipo banaH
Hakuna mkuu wewe ni mwalimu
Hongera sana God is good! This is what we call power giving thanks to every stepsWapendwa nashukuru sana Mungu hatimae na mimi nimekumbukwa see nilambe asali mimi Ndio nilikosa nafasi za TRC lakini sikuvunjika moyo nilishukuru Mungu kwakweli. Japo nilikosa maneno mengi. Leo nineona nguvu ya kushukuru Mungu na mimi nimo nawatia moyo kufika oral Nijambo jema zaidi nimeona mkono wa mungu kwenye Shirika nono kuliko TRC
Na lazima ajue kuwa anapo wambie wenzie maswali ndipo anapo punguza nafasi yake ya kupata ushindi! Lazima watu wajue kwenye oral si swala la ushindani wa marks nyingi….ndio maana kuna waliopangiwa leo kazi lakini interview walifanya mwaka jana! Kwa vyovyote vile kuwambia waenzio maswali unapotoka kwenye oral ni kujilipua au kujiweka kwenye risk!Unasindikizwa na msimamizi na kukuambia fuata road usepe bila kukaribiana au kuonana na wale ambao bado hawajaingia kukandwa
Umenpa matumainiKazi zipo bana
-Examination Officer
-Registration officer
Huo ni mfano na zishatoka watu wakalamba asali kwenye taasisi
Sana a big hopesUmenpa matumaini
Na bado mkuuIla utumishi mwezi huu wapewe maua yao.
Siwezi kukuhakikishia ilo mkuu, maana hata mimi sikuwa na connection lakini nilipata. Lakukushauri usiache kufanya usaili hata kama nafasi ni moja.Mkuuu naomba connection mdg wako nimepauka adi ma ex wananikimbia mkuu
GPA kwa utumishi sio kigezo cha kukosa kazi. Kuna rafiki yangu alipata GPA ya 2.2 computer engineer UDOM mikeka miwili nyuma katoboa ofisi ya waziri mkuu, ajira, watoto, na wenye ulemavu saiv anakula zake induction cozIla mkuu GPA yangu ndogo sana aisee mpaka aibu nilikua nawaza madem tu aisee.
Wamejitahd sana unatoka mkeka uja page8 huko balaa, wasiishie huu mwezi tuIla utumishi mwezi huu wapewe maua yao.