Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongereni wote mliopata kazi Leo, mkawe watumishi wema na waadilifu uko muendako, leteni shuhuda wakuu mipdf ya saiv imenona Nona Sana dah hadi Raha yaan
 
Basi tu kujikuta,mm ile asubuh naend kuchukua barua nkakutana na mdada katka kuchat tukaulizana kila mtu alipopangiwa basi tu akaanza mm sjui kwann wamenipangia kule,na mm akaniangalia kama vile sijadeserve kupangiwa iyo sehemu vle,nkamwambia kila mtu ana ridhiki yake na Mungu ndo mpangaji..Ebu tuwe na mioyo ya shukrani jamani.
Shukrani ni muhimu, hii ni starting point ya kuelekea palipo pazuri zaidi endapo mtu akiamua kupambana
 
Wapendwa nashukuru sana Mungu hatimae na mimi nimekumbukwa see nilambe asali mimi Ndio nilikosa nafasi za TRC lakini sikuvunjika moyo nilishukuru Mungu kwakweli. Japo nilikosa maneno mengi. Leo nineona nguvu ya kushukuru Mungu na mimi nimo nawatia moyo kufika oral Nijambo jema zaidi nimeona mkono wa mungu kwenye Shirika nono kuliko TRC
Hongera sana God is good! This is what we call power giving thanks to every steps
 
Unasindikizwa na msimamizi na kukuambia fuata road usepe bila kukaribiana au kuonana na wale ambao bado hawajaingia kukandwa
Na lazima ajue kuwa anapo wambie wenzie maswali ndipo anapo punguza nafasi yake ya kupata ushindi! Lazima watu wajue kwenye oral si swala la ushindani wa marks nyingi….ndio maana kuna waliopangiwa leo kazi lakini interview walifanya mwaka jana! Kwa vyovyote vile kuwambia waenzio maswali unapotoka kwenye oral ni kujilipua au kujiweka kwenye risk!
 
Back
Top Bottom