Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jamani kuna halmashauri nipo napiga intern aisee mimi nahangaika kupata michongo kuna wazee wapo kwenye viti ni wazee barabara hawataki kustaafu kabisa nao wanasema mtaani kwa moto
Mfumo mbovu tu wa serikali , hii mizee imeshaona kama ajira za serikali ni zao tu ,
Forgery na rushwa kwenye umri .
Jitu limezeeka halitaki kustaafu ,halafu kila siku wanafanya mockery Kwa vijana graduates wasio na biashara wala means zozote za kujiingizia kipato .
Kwanza kustaafu ilitakiwa iwe miaka 55 tu .
Kama mtu kashindwa kujipanga kiuchumi miaka yote hiyo ni bure tu , atoke wengine watake over .
 
Unaweza fanyia popote, wahi asubuhi utoe taarifa kwa wasimamizi kua umebadilisha kituo, kisha watatransfer mtihani wako
Wameshapanga kituo ila sasa ndio mtu yuko mkoa mwingine, ndio nilikuwa nauliza saili za utumishi huwa zinafanyika mikoa yote au baadhi ya mikoa tu, na je mtu anaruhusiwa kufanyia mkoa mwingine tofauti na aliopangiwa
 
Mkuuu hii nchi ni anakujua nani sio unajua nini mkuu
 
Hivi hamna mtu alishafanya usaili TANAPA akanipa ABC maswali yao yanakuwaje au mtindo ni uleule kama wa utumishi?
 
Mkuu mm nilipataga 3.7 yaani hii kitu inaniuma hadi leo nilikonda kutafuta 3.8 bora ningekula bata tu
Kwa uchache tu pitia hili TANGAZO ila uwe unasoma matangazo vzr mkuu utapishana na mzinga wa asali ukikariri kama hivyo maana matangazo mengi huwa yanataka 3.5 pitia hii pdf kama mfano
 

Attachments

TA ni wale wale na viwango vya mishahara vinafanana,usibabaike na majina,nina marafiki wanafundisha hivyo institute na University kwa taasisi za umma
Elewa Universities Kama UDSM, MZUMBE, UDOM, MUHAS na vingine na siyo Institute kama IFM au IAA.
 
TA ni wale wale na viwango vya mishahara vinafanana,usibabaike na majina,nina marafiki wanafundisha hivyo institute na University kwa taasisi za umma
Sijazungumzia mishahara
Nimezungumzia vigezo.
Licha ya hivyo mishahara inatofautiana pia
TA, MD si sawa na TA wa Accounting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…