Hongera sanaNamshukuru Mungu sana nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni interview yangu ya kwanza kufanya hapo mwezi wa tano Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia.
Hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu.
God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Hongera karibu tuwatumikie WatanzaniaNdg zangu nashukuru Mungu nimefikiwa. What I learn from this struggle ndg zangu. Tumuombe sana Mungu anatenda.
ahsante sana [emoji120]Hongera sana
Naona maafisa ugamvi zaidi ya 300 wanahitajika huko 😂Procurement, afisa kilimo mifungo na wasidizi wake afisa hesabu na wasaidizi wake , IT, civil engineer,arch buld ecnomy Mungu anawapenda sana 😳😁
Hongera mastaNdg zangu nashukuru Mungu nimefikiwa. What I learn from this struggle ndg zangu. Tumuombe sana Mungu anatenda.
Hongera mastaDah namimi kijana wa Rangitatu leo baada ya kutoka kuuza mtumba narudi gheto napumzika navuta pumzi ndefu, nakuta Mungu amenibless nimelamba ASALI. DAH struggle hii haikua rahisi lakini Mungu mwema. Nawaombea wote Mungu awatendendee DATABASE IS REAL na written nilitoboa kwa mbinde marks 53. Wakuu Elmarabiosh, Utawala Mungu awaone nanyi nawengine wote mnaofatilia uzi huu since dei one
Ajira haina GPAHabari ya asubuhi. Wakuu nina GPA ya 2.7 ya public Administration inaweza nisaidia kupata kazi kupitia UTUMISHI au nilime viazi tu huku njombe.
Nimekupata mwambaAjira haina GPA
#YNWA
Kwenye pdf wamewekaWakuu naomba kujua anuani ya kutuma maombi hizo nafas za kaz za mdas na lgas kwa yeyote anaejua
Leka nyambala mbombo ngafuKwenye pdf wameweka
Afisa utumishi😂
Tamisemi iliyochangamka kwani TGS hauzioni hizo.Mkuu kazi za MDA & LGA kuna ulaji kweli?. Mbaga Jr
Hii serikali ukapandage cheo huko hukoLGA wabahirifu, mshahara degree TGS D, diploma TGS C. Kwa kawaida huwa degree TGS E, Diploma TGS D.
Dah wanazingua.Tamisemi iliyochangamka kwani TGS hauzioni hizo.
hahahaU
Uzuri mishahara yake inajulikana 😂
Dah ngoja tuangalie.Hii serikali ukapandage cheo huko huko