Ila bachelor mkuu na si diploma
Afu pdf la tangazo za ajira MDA & LGA la leo haiuna watu wa IT wenye level za bachelor😀
Tuliza komwe lako mkuuKwenye pdf kuna degree lakini ajira portal hazipo.
We endelea na udalali wa viwanja tuShirika la rail tanzania (TRC) au wizara ya uchukuzi ingewachukuwa vijana wa mechanical, automobile, automotive, electro-mechanical, electrical and electronics, telecom na wave, aerodynamic, locomotive Engineer waliyopo data base au kama hawapo wa kutosha itoe tangazo la kazi , then iwapeleke Korea ya kusini kuweza kuwaongezea ujuzi wa kitaalamu kuhusu system zote za ki-engineering zinazo husiana na mradi wa sgr locomotive na train(car(coach)) zake zote, ili mradi uimarike usonge mbele, kuliko kutegemea techlogy ya ndani angali vitu na vifaa vyote ni vya nje(mataifa mengine), kwa maana wana ushirikiano mzuri na korea ya kusini kwa mambo ya reli kwa sasa au hata uturiki, hiyo itasaidia mradi kukua zaidi na kukuza uchumi na kufikia miaka halisi miaka 100 ya mradi ulivyo sainifiwa(design), serikali isione hasara kuwapeleka vijana korea maana after mafunzo taifa litaona faida
Wakati afya TGHS C ni 1040000Tgs D. basic salary 765,000.00
Tgs E. basic salary 1,000,000.00
Wewe ni wa kupuuzwa tu sina time, sijui huwa unajitafakali kweli yaani kazi kuwakatisha tamaa wasaka ajira humu, angalia wenzako humu wanatoa pongezi na hongera na kuwapa mwongozo na kuwajibu maswali wanayo ulizwa humu pia na kuwatia moyo watu humu, ila wewe sijui una hakiri za kushikiwa!We endelea na udalali wa viwanja tu
Tasisi au LGA?Wakati afya TGHS C ni 1040000
TGHS B 740K.Wakati afya TGHS C ni 1040000
Taasisi wana scale zao afya hawatumii TGHsTasisi au LGA?
B ndo certificateTGHS B 740K.
TGHS C 1040000
TGHS D 1.2M
TGHS E 1.5M
Diploma zote za afya mshahara mmoja.B ndo certificate
Kweli mkuu muhimu check number mkuuApo ni kumuomba mungu upangiwe sehemu nzuri japo hakuna sehemu mbaya kama unaanza kupambana ni suala la muda tu. Kikubwa ni kupambana. Nakumbuka tulifanya interview MDAs and LGAs mwaka jana lakin kuna watu walipangiwq MDAs na wengi walipangiwa LGAs kikubwa upate check number tu
Eeh kumbe afya wako vzr hapo kama una loan board n kama ngap take home?
Msiache kuomba na kufanya sahili.Tupambane Tupate Asali.
Nakumbuka enzi za kina mwifa kulikuwa na asali wa nyuki wadogo na nyuki wadogo kubwa sijui iliishia wapi hii.
Mwaka huu vyuma vimekaza.
Halmashauri ndo zinaajiri.
Taasisi kimya sijui kuna nini nyuma ya pazia
popote utakapoona salary ni TGHS CTasisi au LGA?
Ata kwenye pdf haipo labda umeangalia vibaya kama umeona screen shot tuma hapaKwenye pdf kuna degree lakini ajira portal hazipo.
Kwa kuongezea tu TGHS D 1280000,TGHS E 1530000 popote utakapozikuta hizi scale TGHS iwe wizarani au halmashauri n.kTGHS B 740K.
TGHS C 1040000
TGHS D 1.2M
TGHS E 1.5M
B ni DiplomaB ndo certificate
Mkuu ushauri wako ni mzuri sana 😢 huyo anae chagua ana uhakika wa milo 3 kwa day mkuuMsiache kuomba na kufanya sahili.
Hizi MDA( ndio Agencies/Mashirika), LGA (Halmashauri). Hivyo unaweza kuangukia palipo pazuri na ambapo hukuwahi kupategemea.
Kuhama kwenda taasisi kutoka Halmashauri, inawezekana lakini ni mtiti mkali sana. Baadhi ya watu waliowahi kuhama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi wanasema mtiti sio wa kitoto, ila inawezekana.
Kwa hiyo ushauri wangu ni kuwa, angalia hali yako uliyo nayo kwa sasa, kama inakuruhusu kuwa na kiburi cha kuchagua nafasi za kuomba, fanya hivyo. Kama unaona haikupi kiburi basi usichague nafasi za kuomba, pambania check number kwanza, then baadae utaendeleza mapambano ukiwa una uhakika wa kupata japo milo miwili kwa siku.