Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Shirika la rail tanzania (TRC) au wizara ya uchukuzi ingewachukuwa vijana wa mechanical, automobile, automotive, electro-mechanical, electrical and electronics, telecom na wave, aerodynamic, locomotive Engineer waliyopo data base au kama hawapo wa kutosha itoe tangazo la kazi , then iwapeleke Korea ya kusini kuweza kuwaongezea ujuzi wa kitaalamu kuhusu system zote za ki-engineering zinazo husiana na mradi wa sgr locomotive na train(car(coach)) zake zote, ili mradi uimarike usonge mbele, kuliko kutegemea techlogy ya ndani angali vitu na vifaa vyote ni vya nje(mataifa mengine), kwa maana wana ushirikiano mzuri na korea ya kusini kwa mambo ya reli kwa sasa au hata uturiki, hiyo itasaidia mradi kukua zaidi na kukuza uchumi na kufikia miaka halisi miaka 100 ya mradi ulivyo sainifiwa(design), serikali isione hasara kuwapeleka vijana korea maana after mafunzo taifa litaona faida
We endelea na udalali wa viwanja tu
 
We endelea na udalali wa viwanja tu
Wewe ni wa kupuuzwa tu sina time, sijui huwa unajitafakali kweli yaani kazi kuwakatisha tamaa wasaka ajira humu, angalia wenzako humu wanatoa pongezi na hongera na kuwapa mwongozo na kuwajibu maswali wanayo ulizwa humu pia na kuwatia moyo watu humu, ila wewe sijui una hakiri za kushikiwa!
 
Apo ni kumuomba mungu upangiwe sehemu nzuri japo hakuna sehemu mbaya kama unaanza kupambana ni suala la muda tu. Kikubwa ni kupambana. Nakumbuka tulifanya interview MDAs and LGAs mwaka jana lakin kuna watu walipangiwq MDAs na wengi walipangiwa LGAs kikubwa upate check number tu
Kweli mkuu muhimu check number mkuu
 
Mkuuu hata majukumu ni tofauti mkuu imagine nurse huyo hata kama analipwa allowance kufanya kazi kwa shift usiku.

Kipindi cha corona dada zetu na kk zetu tulikua tunalia moyoni

Kuzalisha sijui, ma ajali, aisee hata darasani hawakuk8mbia chemistry na physics wewe ukaenda zako HKL ukafaulu kwa D mbili

Diploma level ya MD DOCTOR au daktari wa sikio ya jino huwezi fananisha na afisa maendeleo jamii ya hombolo mkuu
 
Tupambane Tupate Asali.

Nakumbuka enzi za kina mwifa kulikuwa na asali wa nyuki wadogo na nyuki wadogo kubwa sijui iliishia wapi hii.

Mwaka huu vyuma vimekaza.

Halmashauri ndo zinaajiri.

Taasisi kimya sijui kuna nini nyuma ya pazia
Msiache kuomba na kufanya sahili.

Hizi MDA( ndio Agencies/Mashirika), LGA (Halmashauri). Hivyo unaweza kuangukia palipo pazuri na ambapo hukuwahi kupategemea.

Kuhama kwenda taasisi kutoka Halmashauri, inawezekana lakini ni mtiti mkali sana. Baadhi ya watu waliowahi kuhama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi wanasema mtiti sio wa kitoto, ila inawezekana.

Kwa hiyo ushauri wangu ni kuwa, angalia hali yako uliyo nayo kwa sasa, kama inakuruhusu kuwa na kiburi cha kuchagua nafasi za kuomba, fanya hivyo. Kama unaona haikupi kiburi basi usichague nafasi za kuomba, pambania check number kwanza, then baadae utaendeleza mapambano ukiwa una uhakika wa kupata japo milo miwili kwa siku.
 
Mkuu ushauri wako ni mzuri sana 😢 huyo anae chagua ana uhakika wa milo 3 kwa day mkuu
 
Back
Top Bottom