Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mtaani kazi ya kulipwa ht 300k kwa graduate km huna connection ni kimbembe kupata ........kujitolea tu kupata ni shughuli ko ht hiyo TGS D kwa mtu ambae huna channel za kueleweka kwa kuanzia sio mbaya tuzidi kuongeza received wakuu
 
Mzee sijui umetokea wapi.

Kama wakina @mwifa wangekuwa na Kutiana Moyo kwa kishamba unavyotaka wewe tusingefika.

Kwenye kusoma Hapo na kufanya usaili kuna Neno la Faraja kutiana moyo nadhani wewe ni miongoni mwa watu niliowaongelea juu
At some point you will realize that not everyone against you is your enemy and not everyone supports you is your friend
 
Nafasi itakuwepo maana imepata mtu na anashughulikia uhamisho
 
Ahsante mkuu.
Maana hii issue ya mwaka wa fedha inanitisha sana nisije nikaenda pale wakaniambia mwaka wako wa fedha umeisha subiri mwaka mwingine tukutengee bajeti. NAHISI NITAZIMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…