Rammyq
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 269
- 773
Mtaani kazi ya kulipwa ht 300k kwa graduate km huna connection ni kimbembe kupata ........kujitolea tu kupata ni shughuli ko ht hiyo TGS D kwa mtu ambae huna channel za kueleweka kwa kuanzia sio mbaya tuzidi kuongeza received wakuuApo ni kumuomba mungu upangiwe sehemu nzuri japo hakuna sehemu mbaya kama unaanza kupambana ni suala la muda tu. Kikubwa ni kupambana. Nakumbuka tulifanya interview MDAs and LGAs mwaka jana lakin kuna watu walipangiwq MDAs na wengi walipangiwa LGAs kikubwa upate check number tu