Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Apo ni kumuomba mungu upangiwe sehemu nzuri japo hakuna sehemu mbaya kama unaanza kupambana ni suala la muda tu. Kikubwa ni kupambana. Nakumbuka tulifanya interview MDAs and LGAs mwaka jana lakin kuna watu walipangiwq MDAs na wengi walipangiwa LGAs kikubwa upate check number tu
Mtaani kazi ya kulipwa ht 300k kwa graduate km huna connection ni kimbembe kupata ........kujitolea tu kupata ni shughuli ko ht hiyo TGS D kwa mtu ambae huna channel za kueleweka kwa kuanzia sio mbaya tuzidi kuongeza received wakuu
 
Mzee sijui umetokea wapi.

Kama wakina @mwifa wangekuwa na Kutiana Moyo kwa kishamba unavyotaka wewe tusingefika.

Kwenye kusoma Hapo na kufanya usaili kuna Neno la Faraja kutiana moyo nadhani wewe ni miongoni mwa watu niliowaongelea juu
At some point you will realize that not everyone against you is your enemy and not everyone supports you is your friend
 
Wadau mwenye uelewa wa hii issue tafadhali.
Mfano mtumishi umepata placement mwezi wa nne ulipoenda kuripoti kwa mwajiri mpya wakakwambia uombe mwenyewe kibali cha uhamisho kwa Katibu mkuu utumishi kupitia mwajiri wako wa awali. Ukaandika barua ya kuomba kibali cha kuhama kutoka mwajiri wako wa sasa kwenda mwajiri mpya ulipopata Placement. Hadi kufikia leo mwezi wa nane kibali hakijatoka na mwaka wa fedha umeisha June 30. Kibali kikitoka ni mwaka wa fedha mpya huu ulioanza July. Je ile nafasi bado itakuwepo kule au ndio figisu zitaanza.
Karibuni kwa michango yenu wenye uzoefu.
Nafasi itakuwepo maana imepata mtu na anashughulikia uhamisho
 
Me nilipata placement kwenye taasisi A mwez wa 12 mwaka jana nikiwa mtumishi wa umma tayari, Mwajiri mpya akanipa maelekezo kama uliyopewa wewe...Nimekuja kupata barua ya KM-Utumishi ya uhamisho July 2024 now nipo kwa mwajiri mpya. So cha kufanya push barua yako ya uhamisho iwahi kutoka utumishi usijali kuhusu nafasi.
Ahsante mkuu.
Maana hii issue ya mwaka wa fedha inanitisha sana nisije nikaenda pale wakaniambia mwaka wako wa fedha umeisha subiri mwaka mwingine tukutengee bajeti. NAHISI NITAZIMIA
 

Attachments

  • IMG_5390.jpeg
    IMG_5390.jpeg
    872.1 KB · Views: 19
Back
Top Bottom