Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
😀 nahisi softcopy kwenye frashHujajibu swali, wakat unalisoma lilikuwa kwenye mfumo gn
Sasa kazi ambayo n softcopy c ndo hy hy itakuwa hardcopy Au?😀 nahisi softcopy kwenye frash
Badaye waka print likabandikwa notice board😁
Ila jiangalie kijana unayeongea naye hapa atakuwa mkandaji psrs soon
Labda nafasi zilianza kuonekana kule ajira portal login,badae zikaonekana sasa kwenya website ya ajira.go.tzUmelisoma vp bila kuprintiwa? Au Umelisoma huku tangazo likiwa linaandikwa hapo kwa hapo?
Likiwa ajira Portal login ndio halijaprintiwa?Labda nafasi zilianza kuonekana kule ajira portal login,badae zikaonekana sasa kwenya website ya ajira.go.tz
Nafikiri alimaanisha kule unakua huoni tangazo lote bhanaLikiwa ajira Portal login ndio halijaprintiwa?
AiseeNafikiri alimaanisha kule unakua huoni tangazo lote bhana
Ukiingia kwenye ile option ya vacancies,au kwenye ajira Portal login tangazo la kazi linaonekanaga lote?mfano utume wapi?Aisee
Nmekuelewa mkuu, bc n swali lake halipo sawa.Ukiingia kwenye ile option ya vacancies,au kwenye ajira Portal login tangazo la kazi linaonekanaga lote?mfano utume wapi?
Kwa hili nitapambana nalo ipasavyo.utapigwa za kichwa ushangae.
Subiria kazi za ubunge mwakani ndo kuna ulaji.Mkuu kazi za MDA & LGA kuna ulaji kweli?. Mbaga Jr
Hivi mnajua vizuri M D A ni nini? na LGA ni nini?Kwa sasa Tupambane Na check namba ila MDA &LGA Wana mishahara mbuzi kazi ni vijijini
Semina ,vikao ni vya mkuu wa idara au senior stafd
Hy hy inatoshaHivi barua ya utambulisho ya mwezi wa pili ambayo ilitumika kwenye usaili unaweza kwenda nayo tena mwezi wa nane kwenye usaili mwingine au mpaka utafute nyingine ya mwezi wa nane
Asante sana kakaHy hy inatosha
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaIkiwa MUNGU amenikumbuka mimi, akakukumbuke na wewe. Jamani na mimi namtukuza huyu BWANA. Tusikate tamaa. Ni hilo tu.