Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😀 nahisi softcopy kwenye frash
Badaye waka print likabandikwa notice board😁

Ila jiangalie kijana unayeongea naye hapa atakuwa mkandaji psrs soon
Sasa kazi ambayo n softcopy c ndo hy hy itakuwa hardcopy Au?

Ht sisi jobless c hua tunasoma nafasi za kazi zikiwa softcopy au?

Aisee Jamaa awe serious na kazi 😂

Jamaa hawezi kuwa mkandaji 😂
 
Hivi barua ya utambulisho ya mwezi wa pili ambayo ilitumika kwenye usaili unaweza kwenda nayo tena mwezi wa nane kwenye usaili mwingine au mpaka utafute nyingine ya mwezi wa nane
 
Back
Top Bottom