Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Big Point.hayo majamaa ukiyafatilia unaweza kupasuka kichwa
Rule tushibe
Tuongeze Received.
Tufanye usaili
Tufanye Oral.
Mengine watajua wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big Point.hayo majamaa ukiyafatilia unaweza kupasuka kichwa
850k+Wakuu hivi SCALE NACTVET 4 ni tsh ngap
Imeaacha wengi tu mbona mkuu,Holder of Bachelor Degree in one of the following fields; Engineering, Economics, Human Resources Management, Public Administration, Agricultural Economics, Agriculture, Sociology, Computer Science, Information Communication and Technology, Library and Information Studies, Mathematics, Statistics, Tourism and Hospitality, Finance, Accounts, Mass Communication, Journalism, Law, Education, Monitoring and Evaluation, Development Studies or equivalent qualifications from recognized institutions.
Admission Officer II hiyo haijaacha mtu
Mmmmh sio lazima ku comment mkuu kitu usichokijua😀😀850k+
Mimi ni education lakini imefail mkuu....I guess wenye kukidhi vigezo Mungu awasaidieImeaacha wengi tu mbona mkuu,
Unajua tuna kozi nyingi sana katika vyuo vyetu😂😂
Kwanza hapa hakuna kozi ata moja ya afya,kuna architecture,n.k nyingi sana hazijawekwa hapo
TANGAZO LINA UBAGUZI HILI😀😀
Apo nimekuelewa mkuuNilikuwa na maana taasisi huwa zinataka HRs wao washiriki ili wapate watu ambao ni competence na wanaoona wao watawafaa zaidi, kwenye panel ya interviwers huwa kuna HR na mtaalamu husika kutoka taasisi inayotaku kuajiri.
Sina maana kuwa wana mtu wao ambaye wanataka kumpitisha bila kuwa na vigezo. Ukijiandaa vizuri unakula asali. Best wishes
Ata ww kigezo unacho kulingana na TangazoMimi ni education lakini imefail mkuu....I guess wenye kukidhi vigezo Mungu awasaidie
😁 mwaisa achana na mshangazi jiandae na usaili tarehe 24 sio mbali,ugwe leka isyoNipo na mshangazi hapa kasafari ka mwanza dah saafi kabisa
Vinaenda sambamba tena nae ni mwaisa pure kabisa aisee😁 mwaisa achana na mshangazi jiandae na usaili tarehe 24 sio mbali,ugwe leka isyo
700,000+Unakuta hapo huyo PGSS take home yake inakuja kukaa hapo kwenye TGS 😂
Tikagaa itolo mwaisa😀Vinaenda sambamba tena nae ni mwaisa pure kabisa aisee
Huna baya mkuu vijana tunatakiwa kuwa namna hii lazima utafanikiwa kamanda.Ata ww kigezo unacho kulingana na Tangazo
Nikusihi fikisha changamoto yako kwa ict@ajira.go.tz au malalamiko@ajira.go.tz piga simu
Waambie waruhusu mfumo ukubali mtu aliyesoma education kama tangazo linavosena katika post hizo uzitaje
Yaani waruhusu kwenye category ya educationand training ili programme zilizopo hapo waweze kuomba
Watarekebisha tu hiyo changamoto mkuu bado mapema deadline ni mpaka tarehe 24 August
Mkuu pia omba nafasi ya EDITOR imetangazwa na TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TIE) inataka watu wa education
Asante sana mkuu nawajulishaAta ww kigezo unacho kulingana na Tangazo
Nikusihi fikisha changamoto yako kwa ict@ajira.go.tz au malalamiko@ajira.go.tz piga simu
Waambie waruhusu mfumo ukubali mtu aliyesoma education kama tangazo linavosena katika post hizo uzitaje
Yaani waruhusu kwenye category ya educationand training ili programme zilizopo hapo waweze kuomba
Watarekebisha tu hiyo changamoto mkuu bado mapema deadline ni mpaka tarehe 24 August
Mkuu pia omba nafasi ya EDITOR imetangazwa na TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TIE) inataka watu wa education
hakikisha anaingi katika imaya yako upate kitonga😂😂, pia akisha ingia mwambie huna job afu cheza kama pele hapoNipo na mshangazi hapa kasafari ka mwanza dah saafi kabisa
Ila uliza kwanza kabila lake asije kuwa mchaga😂😂, utapigwa za usohakikisha anaingi katika imaya yako upate kitonga😂😂, pia akisha ingia mwambie huna job afu cheza kama pele hapo
😂😂😂 akizoea kitonga itam costhakikisha anaingi katika imaya yako upate kitonga😂😂, pia akisha ingia mwambie huna job afu cheza kama pele hapo
Amesema ni kabila kama lake wataendana hao sema awe makini na anaye muhudumia huyo mshangazi asije tolewa meno au akatekwa na wazee wa noah nyeusi akapelekwa mabwe pande😂 anatifuliwa mfereji oooh watu wana hasira na mali yaoIla uliza kwanza kabila lake asije kuwa mchaga😂😂, utapigwa za uso