Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Imeaacha wengi tu mbona mkuu,
Unajua tuna kozi nyingi sana katika vyuo vyetu😂😂
Kwanza hapa hakuna kozi ata moja ya afya,kuna architecture,n.k nyingi sana hazijawekwa hapo
TANGAZO LINA UBAGUZI HILI😀😀
 
Imeaacha wengi tu mbona mkuu,
Unajua tuna kozi nyingi sana katika vyuo vyetu😂😂
Kwanza hapa hakuna kozi ata moja ya afya,kuna architecture,n.k nyingi sana hazijawekwa hapo
TANGAZO LINA UBAGUZI HILI😀😀
Mimi ni education lakini imefail mkuu....I guess wenye kukidhi vigezo Mungu awasaidie
 
Apo nimekuelewa mkuu
 
Mimi ni education lakini imefail mkuu....I guess wenye kukidhi vigezo Mungu awasaidie
Ata ww kigezo unacho kulingana na Tangazo
Nikusihi fikisha changamoto yako kwa ict@ajira.go.tz au malalamiko@ajira.go.tz piga simu
Waambie waruhusu mfumo ukubali mtu aliyesoma education kama tangazo linavosena katika post hizo uzitaje
Yaani waruhusu kwenye category ya educationand training ili programme zilizopo hapo waweze kuomba
Watarekebisha tu hiyo changamoto mkuu bado mapema deadline ni mpaka tarehe 24 August


Mkuu pia omba nafasi ya EDITOR imetangazwa na TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TIE) inataka watu wa education
 

Huna baya mkuu vijana tunatakiwa kuwa namna hii lazima utafanikiwa kamanda.
 
Asante sana mkuu nawajulisha
 
Ila uliza kwanza kabila lake asije kuwa mchaga😂😂, utapigwa za uso
Amesema ni kabila kama lake wataendana hao sema awe makini na anaye muhudumia huyo mshangazi asije tolewa meno au akatekwa na wazee wa noah nyeusi akapelekwa mabwe pande😂 anatifuliwa mfereji oooh watu wana hasira na mali yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…