Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu hivi ukiandika barua unatumia address ya Tie au utumishi

Au kama una tangazo nisaidie
 
Mkuu hivi ukiandika barua unatumia address ya Tie au utumishi

Au kama una tangazo nisaidie
Barua zote za ajira kutpitia PSRS zinaelekezwa kwa katibu utumishi, hakuna barua inayokuwa na address ya taasisi tofauti na utumishi.
 
Wapambanaji wenzangu leo ni siku nyingine tena, tuendelee kusubiria lolote linaweza kutokea. Na iwe Jumanne ya baraka
Wakuu mimi mbona nikitumia simu inazingua kuingia kwenye a/c yangu ya ajiraportal had nitumie pc je wenzangu huko vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…