Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ata ww kigezo unacho kulingana na Tangazo
Nikusihi fikisha changamoto yako kwa ict@ajira.go.tz au malalamiko@ajira.go.tz piga simu
Waambie waruhusu mfumo ukubali mtu aliyesoma education kama tangazo linavosena katika post hizo uzitaje
Yaani waruhusu kwenye category ya educationand training ili programme zilizopo hapo waweze kuomba
Watarekebisha tu hiyo changamoto mkuu bado mapema deadline ni mpaka tarehe 24 August


Mkuu pia omba nafasi ya EDITOR imetangazwa na TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TIE) inataka watu wa education
Mkuu hivi ukiandika barua unatumia address ya Tie au utumishi

Au kama una tangazo nisaidie
 
Mkuu hivi ukiandika barua unatumia address ya Tie au utumishi

Au kama una tangazo nisaidie
Barua zote za ajira kutpitia PSRS zinaelekezwa kwa katibu utumishi, hakuna barua inayokuwa na address ya taasisi tofauti na utumishi.
 
Wapambanaji wenzangu leo ni siku nyingine tena, tuendelee kusubiria lolote linaweza kutokea. Na iwe Jumanne ya baraka
Wakuu mimi mbona nikitumia simu inazingua kuingia kwenye a/c yangu ya ajiraportal had nitumie pc je wenzangu huko vp?
 
Back
Top Bottom