Tatizo nafasi yenyewe moja labda wafanye kama kwenye mkeka wa akina meck pro watutafutie nafasi hapo hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetoboa mzee amini haya maneno
πππππAu umeona cv yangu wanataka wakafungie maandazi Hawa utumishiHahahaaa, ndio maana nimekuambia nimeona barua yako[emoji1787][emoji1787]
Wanazingua Yani moja afu kazi ilivyokubwa daah lakini utapata naaminiTatizo nafasi yenyewe moja labda wafanye kama kwenye mkeka wa akina meck pro watutafutie nafasi hapo hapo.
Pia najiuliza kada ya Afya ilivyo kubwa hivi eti wao wanataka mtu mmoja tu! mambo mengine tunabaniana wazi wazi
Kwani experience walikwambia lazima zifanane na unachoenda kufanya mzee??wewe taja ulichokifanya kwenye kazi za nyuma na hizi ni junior levels so they don't care much about experience mzee wewe jibu maswali kuwa confident basiWakuu msaada kwenye tuta tafadhali.
Mimi nimesoma Uhasibu na field zangu zote pamoja na internship nimefanya katka uhasibu.
Swali langu ni kwa usaili wa kesho Loan officer ninapooanisha experience yangu na duties za loan officers naona kama haziingilian kabisa.
Hapo kitaalamu tunafanyaje?.
Salute bro.Kwani experience walikwambia lazima zifanane na unachoenda kufanya mzee??wewe taja ulichokifanya kwenye kazi za nyuma na hizi ni junior levels so they don't care much about experience mzee wewe jibu maswali kuwa confident basi
Hello,believe kwamba umepata na omba mungu with belief kuwa you were the best candidate.Amini katika hicho ulichonacho,kama ambavyo kwenye bible(sorry si lengo kuhubiri) uwe na spirit kama ya ya DAUDI alivyo-trust silaha zake ndogo na hatimaye akamshinda GOLIATH,hivyo omba kwa imani na Mungu atakubarikiBado mkuu hatuwezi kuhitimisha hivyo, wenzangu nawajua wako vizuri, mimi nawapa nafasi halafu maombi yangu nayaelekeza kuingia kanzidata
AmeenSawa mkuu, tuishi kwenye kumuachia Mungu afanye yake
Tuishi humo mzeeSalute bro.
Umetisha sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au umeona cv yangu wanataka wakafungie maandazi Hawa utumishi
Mimi kikubwa nipate cheque namba kwa kazi iliyopo ndani ya kada yangu. Hili benchi huku mtaani ni la moto haswaWanazingua Yani moja afu kazi ilivyokubwa daah lakini utapata naamini
ππππMaana hawaeleweki hawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wape possible πππMnaoingia oral kesho nawatakia Kila la khery.. mkawakande kwelikweli psrs bila huruma
Wapande mlima tu kwenye huu uzi possible zimemwagwa kama zote Yani,zile nondo ulitema juzi ndo mulemule kakaWape possible πππ
Hicho ndo chamuhimu tu mzee mengine yatajiset mbeleMimi kikubwa nipate cheque namba kwa kazi iliyopo ndani ya kada yangu. Hili benchi huku mtaani ni la moto haswa
Halafu mimi kwenye Intro sijataja uzoefu/skills hata kidogo, nimetaja tu niliwahi kufanya Intern hospital fulani.Kwani experience walikwambia lazima zifanane na unachoenda kufanya mzee??wewe taja ulichokifanya kwenye kazi za nyuma na hizi ni junior levels so they don't care much about experience mzee wewe jibu maswali kuwa confident basi
Sawa mkuu, shukrani kwa kunitia moyoHello,believe kwamba umepata na omba mungu with belief kuwa you were the best candidate.Amini katika hicho ulichonacho,kama ambavyo kwenye bible(sorry si lengo kuhubiri) uwe na spirit kama ya ya DAUDI alivyo-trust silaha zake ndogo na hatimaye akamshinda GOLIATH,hivyo omba kwa imani na Mungu atakubariki
Kabisa ukiwa na kazi ni rahisi Sana kupata kazi kaka..ndio maana Kuna kipindi taasis flani huwa zinatangaza transfer vacancy na sio ajira mpyaHicho ndo chamuhimu tu mzee mengine yatajiset mbele
ππππNondo za humu aseeh washindwe wenyewe tu Kuna wakati huwa nawazaga kama mwanzo ningepata muongozo kama wa humu ningeshakuwa kazini aseehWapande mlima tu kwenye huu uzi possible zimemwagwa kama zote Yani,zile nondo ulitema juzi ndo mulemule kaka