yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Hivi hii nayo bado hadi leo? Ngachoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii nayo bado hadi leo? Ngachoka
Huu uzi uko wapi?Naona tuwe na uzi wa kuelezea makosa yaliyosababisha rejection za PSRS, wote waliowahi kuwa rejected kwa makosa hayo wafunguke ili tujirekebishe
Walikupa muda uwaulize swali?Kiukweli majibu yote niliyotoa sio ya kukariri, mimi mwenyewe nashangaa sijui nilijibuje vile.
Swali la kwanza nilikuwa sijiamini hata ngeli hakunyooka, kuanzia swali la pili nikapata confidence na akili ikawa inacharge fast na kujibu haraka haraka.
Kuna maswali mengine nimejibu points zaidi 5 walizotaka wao, yaani walikuwa wananisikiliza hadi mimi niseme tayari na wananipa swali linalofuata
Sawa mkuu, tuishi kwenye kumuachia Mungu afanye yakeTatizo lako kaka hujiamini na inakata tamaa haraka..hvi hujawah kuona watu wanajiamini wakiwa nje wakiingia ndani hamna kitu.?trust yourself bro mpaka kuwepo hapo miongoni mwa wachache maana yake we ni better..umepambana kwa nafasi yako muachie Mungu ashughulike na yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]You see!Kuna watu wako vizuri kichwani ila confidence zero
Tulikuwa 5, nafasi 1.Mlikua wangp mkuu na nafasi ziko ngap
Sawa mkuu, itaniazima suti ukishatoka kuchukua barua[emoji3][emoji3][emoji3]Umeshatoboa mzee amini nnachokwambia
Ahaa kumbe, hata hivyo niliona karatasi ya maswali ina jumla maswali 10, panelist aliyekuwa karibu yangu nilipiga chabo[emoji3][emoji3]Mpaka hapo naamini umetoboa mzee kale pdf [emoji122][emoji122][emoji122]sema maswali kwa afya yanakuaga saba nadhani
Hawajaniuliza.Hawajakuuliza machallenge na mengineyo?
Kidogo niite kwa sauti "Dada Prok" nikajisemea hapa nitavujisha shoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanasheria wanakula suti kali sana hawa hahhhh
Ahsante sana mkuu kwa faraja. tuendelee kusapotiana namna hii ma tuweze kufikia hatua tunayoitamani kufikiaDon't underestimate yourself brother. Huwezi jua hao unaowaona bright walijibuje kwa upande wao. sometimes there are some people who might be seemed brighter but they can have some witnesses. Sisi sote tunakuombea kila Lililo na heri na hopefully u will make it to the final Mwifwa
Wote mmefaulu ndio maana mmekutana kwenye usaili wa majadiliano mkuu.Daahh, bado hatuwezi kuhitimisha hili.
Niliokuwa nao oral, wako bright, mimi maombi yangu angalau niingie kanzi data.
Nilikandwa mara 3 mfululizo.
Sasa hii golden chance naiombea niwe angalau kanzi data maana hizi written zinatua nguo sana
Bado hatujaupandishaga ila naona kupitia huu uzi mambo mengi tushayajadili na mtu akiuliza huwa anajibiwa piaHuu uzi uko wapi?
Niliahirisha swali langu baada ya kuona wamenipa maswali mengi, zaidi ya 5. Nikajisemea ngoja niondoke zangu. Pia nilizingatia wenzangu nao waingie maana tulichoka kupigwa jua njeWalikupa muda uwaulize swali?
Ahsante sana mkuu
Sawa mkuu, Ahsante kwa kunikumbusha kuhusu matokeo ya written kutohusiana na ya Oral.Wote mmefaulu ndio maana mmekutana kwenye usaili wa majadiliano mkuu.
Tulishahitimisha kuwa matokeo ya written hayahusian na huku. Mi pia kama wengine naamini sote muda wetu utafika.
Dada prox nimekuona ndani ya dress code ya Uanasheria kama vile unaenda kufafanua PGO pale Kisutu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa ni nyumbani mkuu, siwezi kupasahau. Miongoni mwa watu waliokuwa outstanding hapa ni mimi.Mkuu hongera sana! Nakuasa mara utakapopokea barua ya kuitwa kazini au kuanza kazi usiwasahau jobless wenzio kutoka huu uzi ambao kila sio wanaongezeka.
Hili linawigo mpana, actually linataka ujimwake wote..sema kikubwa mda ndo hauruhusuTell us about your life history, schools and college.
Mimi nimeshuka broken ya College, schools(olevel na Advance) pia ninechomekea profession kipindi nimekuwa full registerd na kuwa admitted into profession.
Life history naona ni personal sana so sikuwa na muda nayo