Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naona Leo wawakilishi wetu wa hili Chama letu la majobless, wameenda kutuwakilisha huko PSRS..
Mkuu Mwifwa na wenzio wote nawatakia Kila la kheri, mkishinda nyie nasi tumeshinda.. Siku yangu Mimi ya kupata barua ya kazi tutakuwa na part la kufa mtu pale Samakisamaki kama furaha ya ushindi baada ya kuwakanda PSRS
Na kesho tunaendelea mkuu
 
Ahsante sana mkuu, tayari nishakandwa, pia tayari nipo kwenye gari narudi kupambana na joto la kitaa.
 
Wewe ushapata kazi... Believe me Mkuu
Daahh, bado hatuwezi kuhitimisha hili.

Niliokuwa nao oral, wako bright, mimi maombi yangu angalau niingie kanzi data.

Nilikandwa mara 3 mfululizo.

Sasa hii golden chance naiombea niwe angalau kanzi data maana hizi written zinatua nguo sana
 
Swali la kwanza.. walikuuliza jitroduce your self au education background only..?
Tell us about your life history, schools and college.

Mimi nimeshuka broken ya College, schools(olevel na Advance) pia ninechomekea profession kipindi nimekuwa full registerd na kuwa admitted into profession.

Life history naona ni personal sana so sikuwa na muda nayo
 
Back
Top Bottom