tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Na kesho tunaendelea mkuuNaona Leo wawakilishi wetu wa hili Chama letu la majobless, wameenda kutuwakilisha huko PSRS..
Mkuu Mwifwa na wenzio wote nawatakia Kila la kheri, mkishinda nyie nasi tumeshinda.. Siku yangu Mimi ya kupata barua ya kazi tutakuwa na part la kufa mtu pale Samakisamaki kama furaha ya ushindi baada ya kuwakanda PSRS