Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapo uhakika mzee ushatoboa niamini mimi
Mimi ni mdebwendo miongoni mwa tulioitwa, naamini wenzangu watakuwa wameshuka majibu ya kueleweka.

Kwa hiyo maombi yangu niwe angalau kwenye kanzi data
 
Wanachoangalia pale sio majibu tu wanaangalia unatoa majibu yakukariri au kuelewa mzee so unaweza kukuta umepita wewe kwakua una experience kidogo na hizi mishe so amini tu mzee
 
Don't underestimate yourself brother. Huwezi jua hao unaowaona bright walijibuje kwa upande wao. sometimes there are some people who might be seemed brighter but they can have some witnesses. Sisi sote tunakuombea kila Lililo na heri na hopefully u will make it to the final Mwifwa
 
Tupe overview ya maswali wanayoyatoa mkuu.
1. Tell us about your life history, schools and College
2. Objectives of perfomance Audit
3. Characteristics of good quality audit report

Haya ndio maswali ya general anayoweza kuulizwa kila mtu wa Audit.

Mengine kama 3 hivi yalihusu kqda yangu ya Afya kwenye kudeal na ishu za hospital.

Halafu wameniuliza maswali zaidi ya 5 aisee, maana kila nikimaliza kujibu wananipa lingine tena.

Muda wa mkando wote walinitengea dk 15
 
Mpaka hapo naamini umetoboa mzee kale pdf 👏👏👏sema maswali kwa afya yanakuaga saba nadhani
 
Wanachoangalia pale sio majibu tu wanaangalia unatoa majibu yakukariri au kuelewa mzee so unaweza kukuta umepita wewe kwakua una experience kidogo na hizi mishe so amini tu mzee
Kiukweli majibu yote niliyotoa sio ya kukariri, mimi mwenyewe nashangaa sijui nilijibuje vile.

Swali la kwanza nilikuwa sijiamini hata ngeli hakunyooka, kuanzia swali la pili nikapata confidence na akili ikawa inacharge fast na kujibu haraka haraka.

Kuna maswali mengine nimejibu points zaidi 5 walizotaka wao, yaani walikuwa wananisikiliza hadi mimi niseme tayari na wananipa swali linalofuata
 
Bado mkuu hatuwezi kuhitimisha hivyo, wenzangu nawajua wako vizuri, mimi nawapa nafasi halafu maombi yangu nayaelekeza kuingia kanzidata
Tatizo lako kaka hujiamini na inakata tamaa haraka..hvi hujawah kuona watu wanajiamini wakiwa nje wakiingia ndani hamna kitu.?trust yourself bro mpaka kuwepo hapo miongoni mwa wachache maana yake we ni better..umepambana kwa nafasi yako muachie Mungu ashughulike na yake
 
Kiukweli majibu yote niliyotoa sio ya kukariri, mimi mwenyewe nashangaa sijui nilijibuje vile.

Swali la kwanza nilikuwa sijiamini hata ngeli hakunyooka, kuanzia swali la pili nikapata confidence na akili ikawa inacharge fast na kujibu haraka haraka.

Kuna maswali mengine nimejibu points zaidi 5 walizotaka wao, yaani walikuwa wananisikiliza hadi mimi niseme tayari na wananipa swali linalofuata
You see!Kuna watu wako vizuri kichwani ila confidence zero
 
Kiukweli majibu yote niliyotoa sio ya kukariri, mimi mwenyewe nashangaa sijui nilijibuje vile.

Swali la kwanza nilikuwa sijiamini hata ngeli hakunyooka, kuanzia swali la pili nikapata confidence na akili ikawa inacharge fast na kujibu haraka haraka.

Kuna maswali mengine nimejibu points zaidi 5 walizotaka wao, yaani walikuwa wananisikiliza hadi mimi niseme tayari na wananipa swali linalofuata
Umeshatoboa mzee amini nnachokwambia
 
Back
Top Bottom