Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Mimi ni mdebwendo miongoni mwa tulioitwa, naamini wenzangu watakuwa wameshuka majibu ya kueleweka.Hapo uhakika mzee ushatoboa niamini mimi
Kwa hiyo maombi yangu niwe angalau kwenye kanzi data
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mdebwendo miongoni mwa tulioitwa, naamini wenzangu watakuwa wameshuka majibu ya kueleweka.Hapo uhakika mzee ushatoboa niamini mimi
Loan officer heslbUnasubiria post ipi?
Bado mkuu hatuwezi kuhitimisha hivyo, wenzangu nawajua wako vizuri, mimi nawapa nafasi halafu maombi yangu nayaelekeza kuingia kanzidataSafiii,jiandae kula keki ya taiga kaka.naamini umepata kazi
Mkuu usijieke kinyonge,em attract positive energy towards u plus maombi naamini itakua.Mimi ni mdebwendo miongoni mwa tulioitwa, naamini wenzangu watakuwa wameshuka majibu ya kueleweka.
Kwa hiyo maombi yangu niwe angalau kwenye kanzi data
Wanachoangalia pale sio majibu tu wanaangalia unatoa majibu yakukariri au kuelewa mzee so unaweza kukuta umepita wewe kwakua una experience kidogo na hizi mishe so amini tu mzeeMimi ni mdebwendo miongoni mwa tulioitwa, naamini wenzangu watakuwa wameshuka majibu ya kueleweka.
Kwa hiyo maombi yangu niwe angalau kwenye kanzi data
Kumbe ushafanya written,kila kheri utapasua tu. Mimi hata kuitwa bado,natamani balaaLoan officer heslb
Hilo hawasemi mkuu, watuahidi ilihali placement nyingi wamezikalia kabatini, haiwezekani[emoji3][emoji3]Wamewaambia majibu baada ya muda Gani?
Hawajakuuliza machallenge na mengineyo?Bado mkuu hatuwezi kuhitimisha hivyo, wenzangu nawajua wako vizuri, mimi nawapa nafasi halafu maombi yangu nayaelekeza kuingia kanzidata
😂😂😂😂Wanasheria wanakula suti kali sana hawa hahhhhDada prox nimekuona ndani ya dress code ya Uanasheria kama vile unaenda kufafanua PGO pale Kisutu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Don't underestimate yourself brother. Huwezi jua hao unaowaona bright walijibuje kwa upande wao. sometimes there are some people who might be seemed brighter but they can have some witnesses. Sisi sote tunakuombea kila Lililo na heri na hopefully u will make it to the final MwifwaMimi ni mdebwendo miongoni mwa tulioitwa, naamini wenzangu watakuwa wameshuka majibu ya kueleweka.
Kwa hiyo maombi yangu niwe angalau kwenye kanzi data
1. Tell us about your life history, schools and CollegeTupe overview ya maswali wanayoyatoa mkuu.
Ahsante sana mkuuP
Pole na hongera mlumbi.
Mpaka hapo naamini umetoboa mzee kale pdf 👏👏👏sema maswali kwa afya yanakuaga saba nadhani1. Tell us about your life history, schools and College
2. Objectives of perfomance Audit
3. Characteristics of good quality audit report
Haya ndio maswali ya general anayoweza kuulizwa kila mtu wa Audit.
Mengine kama 3 hivi yalihusu kqda yangu ya Afya kwenye kudeal na ishu za hospital.
Halafu wameniuliza maswali zaidi ya 5 aisee, maana kila nikimaliza kujibu wananipa lingine tena.
Muda wa mkando wote walinitengea dk 15
Hahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh uhakika mzee nipo nabrush moka hapa yakuvalia suti
Basi tusubiri placement hapo mwakani tutajua mbivu na mbichiMkuu usijieke kinyonge,em attract positive energy towards u plus maombi naamini itakua.
Kiukweli majibu yote niliyotoa sio ya kukariri, mimi mwenyewe nashangaa sijui nilijibuje vile.Wanachoangalia pale sio majibu tu wanaangalia unatoa majibu yakukariri au kuelewa mzee so unaweza kukuta umepita wewe kwakua una experience kidogo na hizi mishe so amini tu mzee
Tatizo lako kaka hujiamini na inakata tamaa haraka..hvi hujawah kuona watu wanajiamini wakiwa nje wakiingia ndani hamna kitu.?trust yourself bro mpaka kuwepo hapo miongoni mwa wachache maana yake we ni better..umepambana kwa nafasi yako muachie Mungu ashughulike na yakeBado mkuu hatuwezi kuhitimisha hivyo, wenzangu nawajua wako vizuri, mimi nawapa nafasi halafu maombi yangu nayaelekeza kuingia kanzidata
You see!Kuna watu wako vizuri kichwani ila confidence zeroKiukweli majibu yote niliyotoa sio ya kukariri, mimi mwenyewe nashangaa sijui nilijibuje vile.
Swali la kwanza nilikuwa sijiamini hata ngeli hakunyooka, kuanzia swali la pili nikapata confidence na akili ikawa inacharge fast na kujibu haraka haraka.
Kuna maswali mengine nimejibu points zaidi 5 walizotaka wao, yaani walikuwa wananisikiliza hadi mimi niseme tayari na wananipa swali linalofuata
Mlikua wangp mkuu na nafasi ziko ngapBado mkuu hatuwezi kuhitimisha hivyo, wenzangu nawajua wako vizuri, mimi nawapa nafasi halafu maombi yangu nayaelekeza kuingia kanzidata
Umeshatoboa mzee amini nnachokwambiaKiukweli majibu yote niliyotoa sio ya kukariri, mimi mwenyewe nashangaa sijui nilijibuje vile.
Swali la kwanza nilikuwa sijiamini hata ngeli hakunyooka, kuanzia swali la pili nikapata confidence na akili ikawa inacharge fast na kujibu haraka haraka.
Kuna maswali mengine nimejibu points zaidi 5 walizotaka wao, yaani walikuwa wananisikiliza hadi mimi niseme tayari na wananipa swali linalofuata