Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

1. Tell us about your life history, schools and College
2. Objectives of perfomance Audit
3. Characteristics of good quality audit report

Haya ndio maswali ya general anayoweza kuulizwa kila mtu wa Audit.

Mengine kama 3 hivi yalihusu kqda yangu ya Afya kwenye kudeal na ishu za hospital.

Halafu wameniuliza maswali zaidi ya 5 aisee, maana kila nikimaliza kujibu wananipa lingine tena.

Muda wa mkando wote walinitengea dk 15
Mkuu unatoboa, ukikosa maswali wanakuuliza meng zaid ujue umewakosha
 
Hahaha, jana nilitaka tukuagize kuhakikisha ukirudi kutoka Dodoma uje na maelezo ya kutosha kuhusu Prok, kama ni mnene, mwembamba, mrefu, mweupe au mweusi. Kuhusu utamjuaje, hatujui.
Hahahaaa.

Labda nikisie kuhusu watu niliowaona ambao lazima walikuwa Wanasheria maana walivaa suti za kiuanasheria wote(ke na Me, sijui waliambizana)

Wadada walikuwa wengi kuliko wanaume.

Wadada wote walikuwa na miili mikubwa(sio ukubwa zaidi, ni ule ukubwa unaopendeza), isipokuwa mmoja ndio alikuwa na mwili mdogo halafu mrefu.

Kiumri lazima walikuwa 27+

Sikuona mdada mweupe sana isipokuwa weupe wa kawaida.

Niliona mtu kama Jebra Kambole(kama unatumia Twitter utakuwa unamfahamu au Wakili aliyesimamiaga kesi ya Abdul Nondo), ingawa atakuwa sio yeye ila amefanana sana.

Tumsubiri Prok aje asahihishe haya maelezo
 
Kiukweli majibu yote niliyotoa sio ya kukariri, mimi mwenyewe nashangaa sijui nilijibuje vile.

Swali la kwanza nilikuwa sijiamini hata ngeli hakunyooka, kuanzia swali la pili nikapata confidence na akili ikawa inacharge fast na kujibu haraka haraka.

Kuna maswali mengine nimejibu points zaidi 5 walizotaka wao, yaani walikuwa wananisikiliza hadi mimi niseme tayari na wananipa swali linalofuata


IMEISHA HIO... 😎

Ilipofika hapo ndipo mda ulipopata kazi. Jiandae kudaka mrija wa asali mkuu.
 
Mkuu unatoboa, ukikosa maswali wanakuuliza meng zaid ujue umewakosha
Angalau kila swali nililojibu naambullia hata nusu point aisee.

Nimesikia kwenye Afya wanauliza maswali hadi 7 ndio maana niliulizwa maswali mengi
 
Daahh, bado hatuwezi kuhitimisha hili.

Niliokuwa nao oral, wako bright, mimi maombi yangu angalau niingie kanzi data.

Nilikandwa mara 3 mfululizo.

Sasa hii golden chance naiombea niwe angalau kanzi data maana hizi written zinatua nguo sana
Kwani kuingia kwenye kanzidata ndo kupoje mkuu?

Nipo Dom chimbo nasikilizia kesho
 
Kwani kuingia kwenye kanzidata ndo kupoje mkuu?

Kuwekwa akiba ukiwa ushafaulu Oral, nafasi za kada yako zikipatikana unapangiwa kituo cha kazi.

Mfano wewe kama ni Accountancy, ukafaulu Oral ya Kesho ila ukakosa nafasi, utawekwa akiba nafasi ya Accountancy ikipatikana popote utapangiwa akale Asali huko
 
Kuwekwa akiba ukiwa ushafaulu Oral, nafasi za kada yako zikipatikana unapangiwa kituo cha kazi.

Mfano wewe kama ni Accountancy, ukafaulu Oral ya Kesho ila ukakosa nafasi, utawekwa akiba nafasi ya Accountancy ikipatikana popote utapangiwa akale Asali huko
OK sawa nimeelewa mkuu.Ndo nimefika mida si mrefu hapa Dom ngoja nijiweke sawa hiyo kesho.Maombi yenu.Usingekuwa speed tungeonana
 
Hawajaniuliza.

Kuna swali moja la Afya lililenga kuverify kitu fulani ambapo naliingiza pia kwenye Auditing.

Halafu nilijikuta kila point ya swali la Auditing, nilimalizia na neno Auditing/Inspection.

Baadhi ya point panelists walikuwa wana node kichwa labda walikuwa wanaitikia mkando[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Umetoboa mzee amini haya maneno
 
Niliahirisha swali langu baada ya kuona wamenipa maswali mengi, zaidi ya 5. Nikajisemea ngoja niondoke zangu. Pia nilizingatia wenzangu nao waingie maana tulichoka kupigwa jua nje
😂😂😂Mimi ile juzi walivyomaliza kunikanda wakasema niseme chochote basi nikawasifiaaaaaa nakuwashukuru nikawaaga nikala kona
 
Hapa ni nyumbani mkuu, siwezi kupasahau. Miongoni mwa watu waliokuwa outstanding hapa ni mimi.

Tumekandwa mara nyingi, tukaja hapa kuelezana, sikukimbia.

Leo hii nimefanya oral yangu ya kwanza na kuhitimisha application zangu za Utumishi kwa mwaka huu.

Tathmini ni kuwa nimepambana sana na kufikia hatua ya mwisho, na kumuachia mwamuzi sasa(placements).

Tukitusua, tusikimbie tuwe mentor kwa wengine. Imagine sahihi za utumishi zinafanyika kwa miaka mingi hadi sasa lakini ukitafuta muongozo huwezi kupata isipokuwa huu uzi, hapo ina maanisha watu wakishaingia kwenye mrija wanondoka na kusahau kutoa miongozo kwa wengine. Kwa sisi tuwe tofauti.

Sasahivi nimekuwa expert wa mambo ya PSRS mwanzo mwisho, haya madini sipaswi kupotea nayo itakuwa kosa endapo nikipotea nayo.

Tuishi mkuu
Uhakika mzee unapofanikiwa sehemu wafanye na wengine wafanikiwa
 
Back
Top Bottom