Kaka mkubwa respectIko ivi,ulikwenda kwenye usaili ukafika mpaka hatua ya oral,nafasi labda ilikua 1,nyie mulikuwa 10,hiyo atapata mmoja aliyefaulu kati yenu,9 mulio baki mtawekwa Database, nafasi zikitokea kwingine kwa maana taasisi nyingine tofauti uliyofanyia usaili au halmashauri unapangwa,na kwenye database au kanzidata unakaa kwa muda wa mwaka mmoja au na miezi kadhaa ,ndio maana tunasisitiziwa tujitahidi tufike hatua ya oral
Sio zote zingine wanafanya paper kama kawaida dodomaHabari mkuu...samahani hivi kwasasa psrs ajira zote tunaanza na Aptitude test ? I mean he aptitude test imereplace written ?
Asante
Mkuu hivi kama ikawa umepata kazi kwingine na huku kwenye database yao umo wanaweza wakakuita pia kukitokea nafasiIko ivi,ulikwenda kwenye usaili ukafika mpaka hatua ya oral,nafasi labda ilikua 1,nyie mulikuwa 10,hiyo atapata mmoja aliyefaulu kati yenu,9 mulio baki mtawekwa Database, nafasi zikitokea kwingine kwa maana taasisi nyingine tofauti uliyofanyia usaili au halmashauri unapangwa,na kwenye database au kanzidata unakaa kwa muda wa mwaka mmoja au na miezi kadhaa ,ndio maana tunasisitiziwa tujitahidi tufike hatua ya oral
Ukipata kazi unaenguliwa kwenye dbMkuu hivi kama ikawa umepata kazi kwingine na huku kwenye database yao umo wanaweza wakakuita pia kukitokea nafasi
Aisee kuna kitengo nimei target sasa inakuwajeUkipata kazi unaenguliwa kwenye db
Soma sana au fanya maandalzi mazuri ili uibuke best katika interiew panel lengo lako litimieAisee kuna kitengo nimei target sasa inakuwaje
Kaka habari.
Kuna mtumishi mmoja ni Nurse aliniambia yeye alipata ajira kwa second round...nilikuwa napenda nikuulzie hili suala zima la second round lipoje...Je wanapotoa kwa mara ya kwanza je, kuna muda wanarudia kuita watu kwa mara nyingine ikiwa walioitwa hawakwenda kwa sababu mbalimbali?
Natanguliza shukrani
Tatizo naweza kufanya interview zaidi ya moja ikatokea nikaitwa kitengo ambacho sio target yangu japo sina uhakika wa kupasua interview zoteSoma sana au fanya maandalzi mazuri ili uibuke best katika interiew panel lengo lako litimie
Unapapenda zaidi taasisi ipi uliyoiomba??
Haya ni mawazo kabla ya interview, baada ya hapo utakuwa unasema kambi popote...ni kama yale mawazo kabla ya kumaliza chuoTatizo naweza kufanya interview zaidi ya moja ikatokea nikaitwa kitengo ambacho sio target yangu japo sina uhakika wa kupasua interview zote
Nimeomba halmashauri na taasisi kwaiyo nilikuwa nataka nipambanie taasisi endapo wakiniita
Naamini katika kupambania ninachotaka sio ninachostahiliHaya ni mawazo kabla ya interview, baada ya hapo utakuwa unasema kambi popote...ni kama yale mawazo kabla ya kumaliza chuo
Piga zote mkuu huwezi jua...usijiaminishe sana kuhusu hizi taasisi kubwa kubwaNaamini katika kupambania ninachotaka sio ninachostahili
Hapa akili yangu inanituma kama vipi ningoje interview ya kitengo pendwa ivo vingine hata zikitoka nizikaushie just kuwaza tu
Piga zote mkuu huwezi jua...usijiaminishe sana kuhusu hizi taasisi kubwa kubwaNaamini katika kupambania ninachotaka sio ninachostahili
Hapa akili yangu inanituma kama vipi ningoje interview ya kitengo pendwa ivo vingine hata zikitoka nizikaushie just kuwaza tu
Mzee sorry naomba nikuulize umemaliza lini chuo?Naamini katika kupambania ninachotaka sio ninachostahili
Hapa akili yangu inanituma kama vipi ningoje interview ya kitengo pendwa ivo vingine hata zikitoka nizikaushie just kuwaza tu
Piga zote mkuu huwezi jua...usijiaminishe sana kuhusu hizi taasisi kubwa kubwaNaamini katika kupambania ninachotaka sio ninachostahili
Hapa akili yangu inanituma kama vipi ningoje interview ya kitengo pendwa ivo vingine hata zikitoka nizikaushie just kuwaza tu
Nina 7 years kitaa wewe umemaliza liniMzee sorry naomba nikuulize umemaliza lini chuo?
Mbona akili za kitoto sana
Ushauri mzuri nitauzingatiaPiga zote mkuu huwezi jua...usijiaminishe sana kuhusu hizi taasisi kubwa kubwa
Punguza overconfidence.Nina 7 years kitaa wewe umemaliza lini
Sawa mzee nimekuelewa, sio ego ni just malengo tu ukizingatia wengine ni wageni wa mfumoPunguza overconfidence.
Fanya saili yote.
Miaka 7 mtaani wala isikushushe au kukupandisha Punguza Ego.
Fanya saili zote.
Maana unaweza kuwaza taasisi ukaishia Halmashauri
Unawajua utumishi malengo, ngoja upokee mikandoo akili ikukae sawa.Sawa mzee nimekuelewa, sio ego ni just malengo tu ukizingatia wengine ni wageni wa mfumo