Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Kaka mkubwa respectIko ivi,ulikwenda kwenye usaili ukafika mpaka hatua ya oral,nafasi labda ilikua 1,nyie mulikuwa 10,hiyo atapata mmoja aliyefaulu kati yenu,9 mulio baki mtawekwa Database, nafasi zikitokea kwingine kwa maana taasisi nyingine tofauti uliyofanyia usaili au halmashauri unapangwa,na kwenye database au kanzidata unakaa kwa muda wa mwaka mmoja au na miezi kadhaa ,ndio maana tunasisitiziwa tujitahidi tufike hatua ya oral