Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 621
- 1,298
usikate tamaa sio kila usaili utaenda kwasababu hali ya uchumi mifukoni mwetu tunaijua wenyewe, muhimu ukipata nafasi ya kwenda hakikisha hauichezei na hauachi hata nukta ktk majibu yakoKiukweli kiubinadamu sometimes inakera.
Mimi nimeenda Dodoma 2 times Olaaa.
Ya 3 ndo nikatoboa ila hata ivyo Database mwezi huu ndo imeisha.
Nasubiri ya nne nione inakuaje.
Kiukweli ukifikiria gharama Dar Dom.
Kula.
Kulala
Nauli.
Unaweza usiende kwa usaili
AiseeNaamini katika kupambania ninachotaka sio ninachostahili
Hapa akili yangu inanituma kama vipi ningoje interview ya kitengo pendwa ivo vingine hata zikitoka nizikaushie just kuwaza tu
Toa neno au tumuache ajionee yeye mwenyeweAisee
kwema utawala2025 naona unaendeleza mapambanoKiukweli kiubinadamu sometimes inakera.
Mimi nimeenda Dodoma 2 times Olaaa.
Ya 3 ndo nikatoboa ila hata ivyo Database mwezi huu ndo imeisha.
Nasubiri ya nne nione inakuaje.
Kiukweli ukifikiria gharama Dar Dom.
Kula.
Kulala
Nauli.
Unaweza usiende kwa usaili
Haah kaka Deadline yangu tar 31 August ndo nitapumzikakwema utawala2025 naona unaendeleza mapambano
Usichoke uneongeza receivedwasaka asali kwema.? mwenzenu nimefukuzia pdf mpaka nimesanda aisee [emoji1787] [emoji1787]
Vipi mkuu mbona mnaniogopesha humu au assessor atakuwa waziri mkuuAisee
Tumefurah kukuona Tena mkuu asali Yako haipo mbali.......Mi ndo ningekuw mgawa asali ningekupeleka taasisi Moja matata ukafidie usumbuf wotewasaka asali kwema.? mwenzenu nimefukuzia pdf mpaka nimesanda aisee 🤣 🤣
Hamna connection ajira portal mkuu ukifail written ndio imeisha labda usipitie mfumo wa usaili io ndio itakuwa connectionKikubwa ni kujiandaa tu na kuwa nondo kokote unaweza pita tukiondoa kigezo cha connection
Mkuu bora ww dar tu apo mm nipo mtwara jumanne inabidi niwe dom aisee na naenda fanya writtenKiukweli kiubinadamu sometimes inakera.
Mimi nimeenda Dodoma 2 times Olaaa.
Ya 3 ndo nikatoboa ila hata ivyo Database mwezi huu ndo imeisha.
Nasubiri ya nne nione inakuaje.
Kiukweli ukifikiria gharama Dar Dom.
Kula.
Kulala
Nauli.
Unaweza usiende kwa usaili
Wala sio ridhiwani utumishi ni tawi dogo la ccm.Ridhiwan toka ateuliwe pdf zimepungua, kunani tena mheshimiwa
Unaenda hauendi .?Mkuu bora ww dar tu apo mm nipo mtwara jumanne inabidi niwe dom aisee na naenda fanya written
Ulisomea ma nini mkuuMaombi muhimu sio waliopata wanajua sana au aliyekosa hajui neema tu ya Mungu ikifika unatoka
Saizi niko sawa kuna mda kila nikifikiria kichwa kilikuwa kinauma
Mda wangu, pesa zangu expectations zangu Dah zilikuwa zinataka kuniua
Wale sio sehemu ya kusema utapata jalibu wait ukipata hewala ukikosa sawa
Psrs sio watu wa mchezo.
Ndio tunavyoambiwa japo sina uhakikaHamna connection ajira portal mkuu ukifail written ndio imeisha labda usipitie mfumo wa usaili io ndio itakuwa connection
Labda wamfanyie durect recruitment mkuu akipita ajira portal either apewe majibu mkuu ndio connection yakeNdio tunavyoambiwa japo sina uhakika
Kuna ile mmepita oral kama mtu ten halafu nafasi ni mbili wanatumia kigezo gani kuchukua ao wawili na wengine kuwaweka kwenye database?
Hivi kati ya oral na written ipi inakuwaga ngumu?Labda wamfanyie durect recruitment mkuu akipita ajira portal either apewe majibu mkuu ndio connection yake
ndugu yangu nimefukuzia pdf mpaka nimekata moto 🤣 🤣Tumefurah kukuona Tena mkuu asali Yako haipo mbali.......Mi ndo ningekuw mgawa asali ningekupeleka taasisi Moja matata ukafidie usumbuf wote
cheti changu cha bodi kimeexpire natakiwa nilipe deni ndio nirenew deni lenyewe ni mshahara wa mtu kabisa nimeamua niwe mpenzi mtazamajUsichoke uneongeza received