OralHivi kati ya oral na written ipi inakuwaga ngumu?
Sijawahi fanya interview safari hii ndio watanikanda hasa
MOYO WANGU UMEUMIA SANA.cheti changu cha bodi kimeexpire natakiwa nilipe deni ndio nirenew deni lenyewe ni mshahara wa mtu kabisa nimeamua niwe mpenzi mtazamaj
acha tu aiseeMOYO WANGU UMEUMIA SANA.
nilivyosoma hii sms.
Yaani mimi ningekuwa nimeajiriwa au na hela ningekulipia Hiyo leseni kama sadaka.
Kiukweli jobless tunapitia maumivu ambayo kuna muda unaweza kutomueleza yeyote Duniani.
Siendi mkuu ni mbali written bora ujue unaenda fanya oralUnaenda hauendi .?
Mimi nishawahi kukesha chako ni chako private room na nikaamkia usaili.
Aisee .
Acha kuhangaika na new comer mkuu,bilashaka huyo kavaa gown la graduu 2023π achana naeKwanza nilivyoingia oral nikajiona nishapata kazi mwaka imeisha mwezi huu database yangu hata sijaitwa.
Na bado nasubiri mikando mingine.
Hatukukatishi tamaa ila lower expectations.
Basi usiwakatishe tamaa, kila mtu ameamua afuate njia aliyoona ni bora kwake, lengo ni kila mmoja afike kwenye Center.mie niko private sector hivi sihangaiki na hao mamaku
Umbali usikuwazishe kuhusu mapambano yako.Mkuu bora ww dar tu apo mm nipo mtwara jumanne inabidi niwe dom aisee na naenda fanya written
Hawa ndio utumishi ninaowajua mie pdf kama muujiza kwa mwamposa.Kimiya kizito kimetawala vipi ni ishara ya kukata tamaa kwa wapambanaji?
Usipaniki kaka Haya maisha acha yaende kama yalivyosometimes yaan mtu unajikuta hadi unatmani kuwang'ata hawa utumishi
Sio kweli. Ni mwaka mmoja, tena inaweza ikawa na zaidiKumbe kanzidata ni miezi sita bhana π
ngoja niwe mpole no wayUsipaniki kaka Haya maisha acha yaende kama yalivyo
mambo hayaeleweki mnaweza kufannya interview leo kabla watu hawajaitwa wote unashangaa mwezi ujao nafasi imetangazwa tena hapo ndo utajua hujui π€£ π€£Kumbe kanzidata ni miezi sita bhana π
Ah Mm Nmesema walichokiandika hapoSio kweli. Ni mwaka mmoja, tena inaweza ikawa na zaidi